Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Me naona baa huwa ni kuvimbiana tu kutongozeana mademu, demu wako anakonyezwa bila wewe kujua na akienda msala anaenda kutoa namba kwenye korido za vyoo, kutongoza maslay queen,kutumia hela kuliko uwezo na kuamka na hang over na majuto ya hela zako no connect

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bro wangu kila akija dar kunitembelea akitoka zake mamtoni huwaga natamba kua nampeleka kiwanja kipya kikali. Ila kila tukifika anakaa muda mfupi tu na hawi interested na ananiambia twenzetu kisuma, ama sweet corner.
Huko sasa ndio tunakeshq hadi majogoo.
Bro wako hakuambii tu ukweli kuwa ni mbahili maana kubeba box sio shghuli ya kitoto ajibane mbele huko aje kutumia huku kizembe huyo anazuga kuwa akiwa kisuma ndio mpango mzima na mnakesha anakuzuga bro wako ila ukweli ni kwamba hapendi utani na hela yake
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Anapelekwa sehemu bia moja elf 80 awe na furaha itoke wapi?.

Ilihal anajua kuna maeneo hiyo elf 80 mnagalagala sakafuni na kuheshimika bar nzima.

Ni ukweli ni kwamba wenzetu nje wanapata hela kwa mbinde sana na wanaithamini, shida wakija bongo tunawaona kama wana hela za kufuja.
 
Back
Top Bottom