Baa zenye pisi kali aka wadangaji Dar

Hiyo ya magomeni yaitwaje
 
Kwaiyo mkuu ume sema hapo Tiffany hotel nisiende na haka ka elfu 20 kangu ka kula siku kuu
wana happy hour kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa mbili

hiyo elf 20 unapata imported bia 5

pako freshi ukimpeleka mtoto lazima akuone mshua maana kwanza ni ghorofani halafu kuna class flaniii hivi ya watu wanaoenda pale
 
We jamaa unaonekana uko very smart kichwani we jamaa unaakili sana afu mjanja I wish niwe mjanja na akili mingi kama wewe
 
Hivi kiwanja gani Dar ukiondoa kitambaa cheupe unaweza kula bata mpaka kunakucha kuanzia jumatatu hadi alhamis..
Kuna club house iko kijitonyama .small planet na gentleman lounge zinakesha .mbez kuna juliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…