Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

Duh Kwan Allah siyo MUNGU kaka mpaka mpaka tena amuombe MWENYEZI MUNGU
 
Hata wakichukua yote ni sawa. Sisi msikiti wa shehe tumbo hatuna wasiwasi.
 
Kichwa cha panzi kikitoa duku duku lake kwa unyongeee kabisa
 
Dogo haya maneno mnalishwa na nani?mkikaa kibarazani ndo kila siku mnasikiliza hizi chenga
We shika adabu yako mimi na uwezo wa kuwa baba yako, nacho ongea ni askari wa Assad ndio kaongea nimeweka video huko nyuma, kasikilize kama unajua kiarabu. Fala mmoja wewe. Mara ya pili jifunze adabu.
 
huyu mjahidina si ndio alikuwa anabisha tunapomwambia assad anapumulia mashine, wakati rafiki zake russia na iran wapo palepale?
 
Ndiyo. Kutokana na ile vita ya 1967 theluthi mbili (2/3)ya eneo lote la Milima ya Golan (Golan Heights) ilnamilikiwa au ni mali ya Irsaeli na kaeneo kadogo theluthi moja (1/3) iliyobaki ya eneo hilo ndo mali ya Syria. Sasa kutokana na mtanange unaoendelea na uelekeo wake, "Mjomba" ameona ni bora amalizie kuchukua na hako kakipande (1/3) alikokaacha zamani ili iwe ni kitu kizima.
 
Muda si mrefu na Gaza Strip itarudishwa kwa Israel.

GOD BLESS ISRAEL
 
Wataukausha mto frat ili wafalme watokao mawio ya jua wapate kupita.
 
Nyau anajipakulia tu minyama sasaivi kiulaiiiiiiiiiini au sio mkuu
 
Ana si
Ana silaha za kuchezea ndo maana anazitumia hovyo hovyo kwa kuwa usa tax will pay it
huwa nawashangaa sana watanzania kapuku wengine hawana hata hela kama wewe, ati wanaumia kwa USA tax kutumika na Israel. hawaelewi kuwa hao US tax payers ina include more than 8 million American Jews ambao wana uraia pia wa Israel na ndio walioshikilia uchumi wa Marekani. hivi Mtanzania anayeishi china akichangia mfuko wa kusaidia Tanzania utasema foreigner anapoteza kodi kwa watanzania? huwa hamuoni aibu kuongea hili jambo? tuwafafanulie hadi lini kwamba Marekani ni Israel na Israel ni marekani?
 
Ukisoma comments kwenye Uzi huu, utagundua Watanzania wengi wana matatizo ya akili makubwa sana.

Vita sio kitu cha kuweka ushabiki maandazi kama wa Simba na Yanga.Ni mpumbavu tu ndo huwa anashabikia vita.
 
Reactions: Cyb
Waarabu wanazidi kusambaratishwa na kusambaratika.
Haya yote ni matokeo ya ujinga wa Hamas walioufanya october 7

Mkuu, kila mwenye akili alijiuliza, Sinwar anajua anachokifanya? Tukaambiwa huu ndio mwisho wa mazayuni....Kila vita Mwarabu anapoaanzisha huwa anaishia kupoteza ardhi....Angalia Syria sasa hivi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…