Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

Ongeza sauti! CCM ni adui wa Wazanzibar?

Unaongelea wazanzibar gani wale walio ipa kura CCM?

Una hoja nyepesi Sana mkuu
 
Tatizo ni lile lile tu kuweka matumaini kwa Wanasiasa au vyama vya siasa.
 
Upinzani wa Tanzania unahangaika sana. Yaani mpaka aibu na huruma.

CCM sasa wanajua namna ya kucheza na akili za watu hawa. CHADEMA komaeni na Bara tu. Kukimbilia Zanzibar sio solution

03FF3DBE-8FDE-406F-B75C-0CEDD59F6FC6.jpeg
 
Mkuu

CCM hawabahatishi.

Wanaojua Sana kitu wanachofanya.

Hala Hala usipatwe na kisukari I'ma sonona ima presha ya kupanda siku CHADEMA ya Cheamani Mbowe ikiunga juhudi.
 
Mkuu una mawazo mapana Sana, binafsi hii ni fulsa naiyona KWA chadema kusuka mtandao imara visiwani humo na itapasua mawimbi Sana,
Wazanzibar,wanampenda Sana seif,ila kwa hili halitawaacha salama
Chadema hii ni fulsa ,so msijidanganye, kwa tathmini ya haraka, mpaka mda huu wananchi wamezidi kuwaelewa kutokana na msimamo wenu, KWA zaidi ya asilimia 85
CHADEMA waka chama chochote cha bara hakiwezi kufua dafu Zanzibar.

Get to your senses. Face the reality.

Njia pekee ni kuungana na wanasiasa wenye ushawishi Zanzibar kama iluvyokuwa Kwa TANU na ASP.

Acheni kujilisha upepo
 
Hakuna namna nyengine tofauti na ya kuweka matumaini kwa wanasiasa na vyama vya siasa?
Hali ya maisha ikiwa ngumu kiasi cha kutosha(zaidi ya hapa), hatutahitaji mwanasiasa wa kusema tuandamane kuwakataa watawala, bali tutaingia barabarani bila kuambiwa na mtu na hizo siku zaja.
 
CHADEMA waka chama chochote cha bara hakiwezi kufua dafu Zanzibar...
Mkuu elewa jana sio leo,na leo haitakua kesho kutwa, usihishi KWA mazoea ,uwezo KWA Sasa chadema kutafuta watu wenye ushawishi Zanzibar na kutengeneza mtandao wa chama inawezekana sana
 
Leo nimeamin kwmba zitto na maalim ni Usalama mbwa wale.
 
Wazanzibar walikuwa wanamtazama Maalim Seif, mtu ambae sasa anaonekana kuungana na watesi wa Wazanzibar hivyo Wazanzibar sasa watalazimika kusimama na vyama kama taasisi na si tena kusimamia na mwanasiasa mmoja mmoja.
Hakika !
 
Mkuu una mawazo mapana Sana, binafsi hii ni fulsa naiyona KWA chadema kusuka mtandao imara visiwani humo na itapasua mawimbi Sana,
Wazanzibar,wanampenda Sana seif,ila kwa hili halitawaacha salama
Chadema hii ni fulsa ,so msijidanganye, kwa tathmini ya haraka, mpaka mda huu wananchi wamezidi kuwaelewa kutokana na msimamo wenu, KWA zaidi ya asilimia 85
Amen
 
Maalim kawalisha nguruwe wa Zanzibar kwa kuungana na wauaji wa wazanzibari wasio na hatia
 
Back
Top Bottom