chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Kama mlitaka kuwa na wabunge hao toka mwanzo kwanini mliiba kura zao majimboni walikogombea?Mbona Mbowe anawabania wabunge wa viti malum sasa?
Au kwa kuwa Joyce Mkuya ametoswa?
Na wewe ni mwanamke hadi uwasemee?Kama mlitaka kuwa na wabunge hao toka mwanzo kwanini mliiba kura zao majimboni walikogombea?
Mna laana ninyi
Mbona Mbowe anawabania wabunge wa viti malum sasa?
Au kwa kuwa Joyce Mkuya ametoswa?
CHADEMA waka chama chochote cha bara hakiwezi kufua dafu Zanzibar.Mkuu una mawazo mapana Sana, binafsi hii ni fulsa naiyona KWA chadema kusuka mtandao imara visiwani humo na itapasua mawimbi Sana,
Wazanzibar,wanampenda Sana seif,ila kwa hili halitawaacha salama
Chadema hii ni fulsa ,so msijidanganye, kwa tathmini ya haraka, mpaka mda huu wananchi wamezidi kuwaelewa kutokana na msimamo wenu, KWA zaidi ya asilimia 85
Watatusaliti wengi, lakini wako wachache wataosimama na sisi mpaka mwisho.Tatizo ni lile lile tu kuweka matumaini kwa wanasiasa au vyama vya siasa.
Hakuna namna nyengine tofauti na ya kuweka matumaini kwa wanasiasa na vyama vya siasa?Watatusaliti wengi, lakini wako wachache wataosimama na sisi mpaka mwisho.
Hali ya maisha ikiwa ngumu kiasi cha kutosha(zaidi ya hapa), hatutahitaji mwanasiasa wa kusema tuandamane kuwakataa watawala, bali tutaingia barabarani bila kuambiwa na mtu na hizo siku zaja.Hakuna namna nyengine tofauti na ya kuweka matumaini kwa wanasiasa na vyama vya siasa?
Mkuu elewa jana sio leo,na leo haitakua kesho kutwa, usihishi KWA mazoea ,uwezo KWA Sasa chadema kutafuta watu wenye ushawishi Zanzibar na kutengeneza mtandao wa chama inawezekana sanaCHADEMA waka chama chochote cha bara hakiwezi kufua dafu Zanzibar...
Afadhari kuwa mwanamke kuliko wewe shogaJitahidi kuelewa nn kimeandikwa.
Hakika !Wazanzibar walikuwa wanamtazama Maalim Seif, mtu ambae sasa anaonekana kuungana na watesi wa Wazanzibar hivyo Wazanzibar sasa watalazimika kusimama na vyama kama taasisi na si tena kusimamia na mwanasiasa mmoja mmoja.
AmenMkuu una mawazo mapana Sana, binafsi hii ni fulsa naiyona KWA chadema kusuka mtandao imara visiwani humo na itapasua mawimbi Sana,
Wazanzibar,wanampenda Sana seif,ila kwa hili halitawaacha salama
Chadema hii ni fulsa ,so msijidanganye, kwa tathmini ya haraka, mpaka mda huu wananchi wamezidi kuwaelewa kutokana na msimamo wenu, KWA zaidi ya asilimia 85
Wale waliopiga kura 27/10 waliingia na viroba kwa CCMOngeza sauti! Ccm ni adui wa wazanzibar?
Unaongelea wazanzibar gani wale walio ipa kura ccm?
Una hoja nyepesi Sana mkuu