Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
There you are!.Kuna wakati mazingira huwalazimisha watu kubadilika ili kufikia malengo au kukabiliana na mazingira hayo.
Moja ya mentality iliyojengeka kwa watanzania ni kuona ili uwe mwanachama wa CHADEMA ni lazima kwa wanawake wavae magwanda. Katokeo yake ninkupoteza was kwa day wakubwa wa mageuzi. Nao ni waislam wenye kupenda kufata mafundisho ya imani yao. Washikadau hao wamejaa znz na mikoa iliyo pwani ya bara. Kosa hili wanalo ccm pia.Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe udhaifu wa kuungana na CCM Bungeni au nje ya Bunge.
Maalim Seif sasa ameshapoteza ushawishi kwa wananchi wa Zanzibar kwa kuwa sehemu ya makubaliano ya kuungana na watesi wao, na zaidi Maalim umri umeshamtupa mkono hivyo wananchi hawawezi tena kumtegemea kuongoza mapambano ya 2025 katika kutafuta dola hivyo Maalim ameshafika mwisho kisiasa.
Kwahiyo, kama ambavyo Wazanzibar walimfuata Maalim ACT, ndivyo sasa watajikuta hawana option zaid ya kusimama na CHADEMA huko Zanzibar wakati wowote kuanzia sasa ambapo tunaweza kushuhudia bendera za ACT zikishushwa katika maeneo mbalimbali huko Zanzibar na Siku zijazo CHADEMA ndio ikawa mbadala wa ACT kama ambavyo ACT ilivyokuwa mbadala wa CUF.
Pia, Wazanzibar sasa wanakwenda kuacha na siasa za kuwa wafuasi wa mwanasiasa fulani na sasa watakuwa wafuasi wa taasisi za kisiasa(vyama vya siasa) kama ilivyo huku Bara ambapo mwanasiasa wa upinzani akihama upinzani na kujiunga na CCM, ushawishi wake nao unafutika kama tulivyoona kwa Dr. Slaa na sasa Halima Mdee na kundi lake.
Mungu ana makusudi na kila jambo, hivyo maamuzi ya ACT kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, yanaweza yakawa ni faida kwa CHADEMA na pigo kwa ACT na viongozi wake.
Wanachopaswa kufanya CHADEMA ni kuendelea kuikataa CCM na makandokando yake kama walivyofanya kwa kuwakataa kina Halima Mdee na kundi lake kwani adui wa CCM kisiasa (CHADEMA), ndio atakuwa/ataendelea kuwa rafiki wa Wazanzibar walio wengi, na rafiki wa CCM kisiasa(sasa ACT), ndie atakuwa /ataendelea kuwa adui wa Wazanzibar walio wengi.
Muda utathibitisha.
Ni kweli.Muda utasema.Uzuri siku hazigandi.
Acha kuchanganya majina boss utaharibu ndoa za watu.ni mukya sio saada mkuyaMbona Mbowe anawabania wabunge wa viti malum sasa?
Au kwa kuwa Joyce Mkuya ametoswa?
Acha kumtukana Mzee Maalim Seif. Hizi lugha za matusi (abusive language) sijui utaziacha lini. Maalim na ACT wameonesha siasa inavyotakiwa kuwa. Chadema ikiendelea na siasa zake za kiharakati na kiumaluki kitafutika bara na visiwani. Chadema inapaswa kufuata msimamo wa Mzee Maalim Seif na ACT kwa kuwarejesha akina Mdee na kundi lake kuendelea na ubunge wao kwa tiketi ya chadema.Mungu ana makusudi na kila jambo, hivyo maamuzi ya ACT kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, yanaweza yakawa ni faida kwa CHADEMA na pigo kwa ACT na viongozi wake.
[emoji17][emoji17][emoji17] ... so disappointed yaani huyu Mzee na ACT yake simtofautishi na Lipumba na CUF yake yaani ni nyama ilele kwenye bucha tofauti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maailim ananakwambia"marahii atutokubali ukhanithi"
naona sasa kakubali kuwa khanithi.
Yaani wewe hujui kabisa uchambuzi wa kisiasa lakini hutaki kuacha. Unaeleza vitu visivyo na uhusiano. Sijui ulisoma shule gani. Umeeleza kana kwanba ndiyo mara ya kwanza Maalim Seif anajiunga na serikali. Kana kwamba CHADEMA ina hata kiongozi wa Shina Zanzibar. Hujui siasa ,achana nayo. Nenda Twitter kukusanya taarifa za Mzee wa faragha. Hayo ya mambo yenu ya faragha unayajua.Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe udhaifu wa kuungana na CCM Bungeni au nje ya Bunge.
Maalim Seif sasa ameshapoteza ushawishi kwa wananchi wa Zanzibar kwa kuwa sehemu ya makubaliano ya kuungana na watesi wao, na zaidi Maalim umri umeshamtupa mkono hivyo wananchi hawawezi tena kumtegemea kuongoza mapambano ya 2025 katika kutafuta dola hivyo Maalim ameshafika mwisho kisiasa.
Kwahiyo, kama ambavyo Wazanzibar walimfuata Maalim ACT, ndivyo sasa watajikuta hawana option zaid ya kusimama na CHADEMA huko Zanzibar wakati wowote kuanzia sasa ambapo tunaweza kushuhudia bendera za ACT zikishushwa katika maeneo mbalimbali huko Zanzibar na Siku zijazo CHADEMA ndio ikawa mbadala wa ACT kama ambavyo ACT ilivyokuwa mbadala wa CUF.
Pia, Wazanzibar sasa wanakwenda kuacha na siasa za kuwa wafuasi wa mwanasiasa fulani na sasa watakuwa wafuasi wa taasisi za kisiasa(vyama vya siasa) kama ilivyo huku Bara ambapo mwanasiasa wa upinzani akihama upinzani na kujiunga na CCM, ushawishi wake nao unafutika kama tulivyoona kwa Dr. Slaa na sasa Halima Mdee na kundi lake.
Mungu ana makusudi na kila jambo, hivyo maamuzi ya ACT kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, yanaweza yakawa ni faida kwa CHADEMA na pigo kwa ACT na viongozi wake.
Wanachopaswa kufanya CHADEMA ni kuendelea kuikataa CCM na makandokando yake kama walivyofanya kwa kuwakataa kina Halima Mdee na kundi lake kwani adui wa CCM kisiasa (CHADEMA), ndio atakuwa/ataendelea kuwa rafiki wa Wazanzibar walio wengi, na rafiki wa CCM kisiasa(sasa ACT), ndie atakuwa /ataendelea kuwa adui wa Wazanzibar walio wengi.
Muda utathibitisha.
Unachanganya dini na siasa, hii kete ya kizamani sana. Waislamu walioko Chadema wao tuwaweke kundi gani?Moja ya mentality iliyojengeka kwa watanzania ni kuona ili uwe mwanachama wa CHADEMA ni lazima kwa wanawake wavae magwanda. Katokeo yake ninkupoteza was kwa day wakubwa wa mageuzi. Nao ni waislam wenye kupenda kufata mafundisho ya imani yao. Washikadau hao wamejaa znz na mikoa iliyo pwani ya bara. Kosa hili wanalo ccm pia.
Jamani hizi siasa ni imani.
Ujamaa ni imani.
Chadema ni imani. Hivyo ili chadema upokelewe znz ni lazima kwanza viongozi wakuu uwe jumuishi. Wawepo viongozi wenye sauti kwa jamii zao wakiwepo waswahili. na sio ilimradi umemuka toz yyt yule.
Pili kwa upande wa kina mama, kuwepo mavazi ya kistaaeabu ya akina mama. Yaani kuwepo na mkakati wa kuwapata wanawake wenye stara zao. Chama kifanye kazi ya ziada kujibrand upya.
Kwa sasa kuna mapungufu hayo na act itaendelea kuteka nyoyo za watu wa pwani, sababu kuu ni hiyo
Hizo mara zote Seif alizojiunga na hiyo serikali aliambulia nini zaidi ya mshahara mzuri, marupurupu, na kiyoyozi kwenye V8?!Yaani wewe hujui kabisa uchambuzi wa kisiasa lakini hutaki kuacha. Unaeleza vitu visivyo na uhusiano. Sijui ulisoma shule gani. Umeeleza kana kwanba ndiyo mara ya kwanza Maalim Seif anajiunga na serikali. Kana kwamba CHADEMA ina hata kiongozi wa Shina Zanzibar. Hujui siasa ,achana nayo. Nenda Twitter kukusanya taarifa za Mzee wa faragha. Hayo ya mambo yenu ya faragha unayajua.
Wishful thinking,hujawahi kufika hata Malindi,unajifanya kuchambua siasa za Zanzibar!Kwahiyo, kama ambavyo Wazanzibar walimfuata Maalim ACT, ndivyo sasa watajikuta hawana option zaid ya kusimama na CHADEMA huko Zanzibar wakati wowote kuanzia sasa ambapo tunaweza kushuhudia bendera za ACT zikishushwa katika maeneo mbalimbali huko Zanzibar na Siku zijazo CHADEMA ndio ikawa mbadala wa ACT kama ambavyo ACT ilivyokuwa mbadala wa CUF.
Wazanzibar walikuwa wanamtazama Maalim Seif, mtu ambae sasa anaonekana kuungana na watesi wa Wazanzibar hivyo Wazanzibar sasa watalazimika kusimama na vyama kama taasisi na si tena kusimamia na mwanasiasa mmoja mmoja.
Kwa wakristo wakatoloko wanaamini, Yesu Kristo hakuhubiri habari za ufalme wa Mungu tu na kuacha dhambi, bali aligusa maswala ya jamii kama amani, umaskini, kutenda haki, mahusiano mazuri, madhara ya rushwa na ufisadi, wizi wa mali ya umma, utunzaji wa rasilimali na hata kuponya magonjwa na hii ndiyo injili sahihi yaani injili ya jamii.Unachanganya dini na siasa, hii kete ya kizamani sana. Waislamu walioko Chadema wao tuwaweke kundi gani?
Tatizo la siasa za Zanzibar hasa upinzani ni kumfuata mtu au kikundi cha watu, matokeo yake hao watu wanaowafuata wakichukua maamuzi ya ajabu kama ya kujiunga na hiyo serikali wanakosa pakukimbilia.
Wanachama wenu wanaumizwa kwenye uchaguzi, nyie mnakula viyoyozi kwenye V8 halafu mnakuja na visingizio kibao, wacheni utapeli.