Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
hapana mkuu tusipende kulaumu wewe mwenyewe unaona kama kesi imeanza leo na hukumu kutolewa leo leo hapo unamlaumu vipi wakili wakati hakuwa na taarifaSasa wakili alikuwa wapi mpaka na yeye anaonekana hana taarifa? Hawa ndio wanafanyiwa mitihani vyuoni.
Hao mawakili wamejitoleaSasa wakili alikuwa wapi mpaka na yeye anaonekana hana taarifa? Hawa ndio wanafanyiwa mitihani vyuoni.
Hii kesi mashahidi wamefika lini na kusikilizwa?Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni...
Atakuwa hakupewa nafasi ya kujiteteaDuh ashahukumiwa
Kweli zege halilali
Ova
Ukijitolea ndio uharibu kesi ya mtu au ufanye chini ya proffessional requirements?Hao mawakili wamejitolea
Sasa watoe hio 5 wamkabidhi 30 wamwambie aache hio tabia mbovu au mpaka wamkute kwenye Pori tengefu moja wapo akiwa ametupwa huko ndio waanze kuchangishanamehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5
Kesi imechukuwa siku 1Atakuwa hakupewa nafasi ya kujitetea
Hii kesi mashahidi wamefika lini na
Wameamua kufanya haraka kabla ya mawakili waliouitolea kufika huko. Wanajua wazi hakuna kesi hapo kama kina utetezii unaoeleweka. Kuanzia sasa hili liwe fundisho kwa mawakili wote wanaojitolea kutetea haki kuwahi mapema kwa wateja wao.Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.
“Tunasubiri kupata ripoti ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Mnapenda kuwatesa wenzenu na kuwatupa kwenye hayo mapori siyo,mnaona burdanSasa watoe hio 5 wamkabidhi 30 wamwambie aache hio tabia mbovu au mpaka wamkute kwenye Pori tengefu moja wapo akiwa ametupwa huko ndio waanze kuchangishana
Safi sana iwe fundishoKijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.
“Tunasubiri kupata ripoti ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Mpeni 35 zake 5 mmechukua mpeni 30 hizo basiMnapenda kuwatesa wenzenu na kuwatupa kwenye hayo mapori siyo,mnaona burdan
Ova