chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mahakamani hakuna kuchelewa, ni kwamba hawakufika, hizo n'gombe zipelekwe Advocates CimmitteeWamechelewa kufika hawakupata hata muda wa kumtetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakamani hakuna kuchelewa, ni kwamba hawakufika, hizo n'gombe zipelekwe Advocates CimmitteeWamechelewa kufika hawakupata hata muda wa kumtetea
Huyo wakili hata angekaa hapo mahakamani since day one, hukumu ya hiyo kesi ingekuwa hivyohivyo maaana hatuna mahakama, bali majengo ya mahakama yanayoendeshwa na makada wa ccm. Na hizo mahakama hufanya kazi kwa kufanya watakacho serekali na sio sheria zitakavyo. Siku wananchi wataamka na kufanya machafuko kama Kenya, ndio mifumo ya utawala itafanya kazi kwa usahihi.Sasa wakili alikuwa wapi mpaka na yeye anaonekana hana taarifa? Hawa ndio wanafanyiwa mitihani vyuoni.
Ni kweli maana sasa hivi inatakiwa uchawa tu. Bila machafuko kama Kenya, mahakama zitaendelea kutumika kukomoa watu.Safi sana iwe fundisho
Tumemtuma atafute kiki za ajabuKama vipi tumchangie hiyo 5m
Ukiweka wakili mpumbavu usitarajie mafanikioHuyo wakili hata angekaa hapo mahakamani since day one, hukumu ya hiyo kesi ingekuwa hivyohivyo maaana hatuna mahakama, bali majengo ya mahakama yanayoendeshwa na makada wa ccm. Na hizo mahakama hufanya kazi kwa kufanya watakacho serekali na sio sheria zitakavyo. Siku wananchi wataamka na kufanya machafuko kama Kenya, ndio mifumo ya utawala itafanya kazi kwa usahihi.
Kwahizi mahakama mateka wa watawala, usitegemee haki kwa mtuhumiwa kwa kesi ya aina hiyo. Kitendo tu cha kuendeshwa kesi haraka, ni ili kutimiza matakwa ya hukumu ya ikulu.Ukiweka wakili mpumbavu usitarajie mafanikio
Sasa hiyo ngombe imekiri kosa, ikasema ipewe adhabu yoyote, lazima alimweKwahizi mahakama mateka wa watawala, usitegemee haki kwa mtuhumiwa kwa kesi ya aina hiyo. Kitendo tu cha kuendeshwa kesi haraka, ni ili kutimiza matakwa ya hukumu ya ikulu.
Hata asingekiri, bado hukumu ingekuwa hiyohiyo. Tunaujua udhaifu wa mahakama zetu kwenye suala linalohusu watawala.Sasa hiyo ngombe imekiri kosa, ikasema ipewe adhabu yoyote, lazima alimwe
Umeona kosa alilohukumiwa? si kuchoma picha ya rais....picha ya rais inaweza kuchomwa tu....rufaa itakatwa na ikishindikana tunamchangia hizo bukubuku atatoka fasta tuAtatoka baada ya kulipa pesa,hatoki Bure 😂😂
Kosa gani?Umeona kosa alilohukumiwa? si kuchoma picha ya rais....picha ya rais inaweza kuchomwa tu....rufaa itakatwa na ikishindikana tunamchangia hizo bukubuku atatoka fasta tu
Kesi zote zingekuwa zinaendeshwa hivi ingekuwa poa sanaKijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.
“Tunasubiri kupata nakala ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Kwa uharaka sawa lakini kwa kesi hii walitaka tu kumfunga chapchap bila kupata nafasi nzuri ya kutetewaKesi zote zingekuwa zinaendeshwa hivi ingekuwa poa sana
Yaan mtu anajitolea unaanza kumpangia.Wameamua kufanya haraka kabla ya mawakili waliouitolea kufika huko. Wanajua wazi hakuna kesi hapo kama kina utetezii unaoeleweka. Kuanzia sasa hili liwe fundisho kwa mawakili wote wanaojitolea kutetea haki kuwahi mapema kwa wateja wao.
Hukumu za hivi waweza kuta mshitakiwa kaingia mahakamani akiwa na jazba, kisha akakiri kwa hasira!Hii kesi mashahidi wamefika lini na kusikilizwa?
Ukiamua kuokoa jahazi inabidi ufanye chapYaan mtu anajitolea unaanza kumpangia.
Inawezekana alipigwa sn kule polisiHukumu za hivi waweza kuta mshitakiwa kaingia mahakamani akiwa na jazba, kisha akakiri kwa hasira!
Inaeleweka ukiisha kukiri hukumu hutolewa papo kwa hapo.
Mbona hukumu haipoKijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.
Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.
“Tunasubiri kupata nakala ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Ni moja ya kesi iliyoenda kwa kasihapana mkuu tusipende kulaumu wewe mwenyewe unaona kama kesi imeanza leo na hukumu kutolewa leo leo hapo unamlaumu vipi wakili wakati hakuwa na taarifa