Baada ya alichechoma picha ya Rais Samia kuhukumiwa Miaka miwili Jela, Wakili asema wanafikiria kukata rufaa

Sasa wakili alikuwa wapi mpaka na yeye anaonekana hana taarifa? Hawa ndio wanafanyiwa mitihani vyuoni.
Huyo wakili hata angekaa hapo mahakamani since day one, hukumu ya hiyo kesi ingekuwa hivyohivyo maaana hatuna mahakama, bali majengo ya mahakama yanayoendeshwa na makada wa ccm. Na hizo mahakama hufanya kazi kwa kufanya watakacho serekali na sio sheria zitakavyo. Siku wananchi wataamka na kufanya machafuko kama Kenya, ndio mifumo ya utawala itafanya kazi kwa usahihi.
 
Ukiweka wakili mpumbavu usitarajie mafanikio
 
Kwahizi mahakama mateka wa watawala, usitegemee haki kwa mtuhumiwa kwa kesi ya aina hiyo. Kitendo tu cha kuendeshwa kesi haraka, ni ili kutimiza matakwa ya hukumu ya ikulu.
 
Sasa hiyo ngombe imekiri kosa, ikasema ipewe adhabu yoyote, lazima alimwe
 
Hata asingekiri, bado hukumu ingekuwa hiyohiyo. Tunaujua udhaifu wa mahakama zetu kwenye suala linalohusu watawala.
 
Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.

Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.

“Tunasubiri kupata nakala ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Kesi zote zingekuwa zinaendeshwa hivi ingekuwa poa sana
 
Wameamua kufanya haraka kabla ya mawakili waliouitolea kufika huko. Wanajua wazi hakuna kesi hapo kama kina utetezii unaoeleweka. Kuanzia sasa hili liwe fundisho kwa mawakili wote wanaojitolea kutetea haki kuwahi mapema kwa wateja wao.
Yaan mtu anajitolea unaanza kumpangia.
 
Yule mkuu wa mkoa wa Simiyu aliyemlawiti binti sa chuo imeishia wapi au wanaohukumiwa ni maskini tu ila wenye pesa wanadunda mtaani
 
Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.

Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~ Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

Wakili aelezea
Wakili Michael Lugina ambaye ni mmoja wa Mawakili waliokuwa wanajitolea kwenda kumsaidia Kisheria, Shadrack Chaula amesema “Tumepata taarifa ya hukumu kabla hatujafika kukutana na mhusika, kwanza inawezekana ikawa moja ya kesi iliyoendeshwa kwa haraka zaidi Nchini kwa kuwa sio kawaida.

“Tunasubiri kupata nakala ya hukumu ili tuone mwenendo wa kesi na hukumu ulivyokuwa na kama hatua zote zilifuatwa kisha tutafanya maamuzi ya kukata rufaa.”
Mbona hukumu haipo
 
hapana mkuu tusipende kulaumu wewe mwenyewe unaona kama kesi imeanza leo na hukumu kutolewa leo leo hapo unamlaumu vipi wakili wakati hakuwa na taarifa
Ni moja ya kesi iliyoenda kwa kasi
Kuliko yoyote iliyowahi kutokea tz
😄
Mfumo ukiamua kukukomoa utakukomoa tu

Ova
 
Back
Top Bottom