Baada ya alichechoma picha ya Rais Samia kuhukumiwa Miaka miwili Jela, Wakili asema wanafikiria kukata rufaa

Sasa wakili alikuwa wapi mpaka na yeye anaonekana hana taarifa? Hawa ndio wanafanyiwa mitihani vyuoni.
Kama mshitakiwa faini ya milioni 5 imemshinda ndiyo ataweza kumlipa wakili amtetee!
 
Kesi Leo Leo imeishia?. Ila ya yule mfiraji analindwa pamoja na Gekul. Kweli hii Serikali ya kijinga Sana.
Kama mshitakiwa kakiri kosa kesi iendelee kuthibitisha nini!!, ukikiri kinachofuata ni mvua tu hakuna ziada.
 
Hii nchi imefika pabaya sana ni afadhali kukimbilia kwenye kundi la simba, chui, fisi, mamba na chatu porini utasalimika lakini sio watu waliopewa dhamana ya kulinda uhai, mali za mwananchi na kuzuia uharifu...period.
 
Kama mshitakiwa kakiri kosa kesi iendelee kuthibitisha nini!!, ukikiri kinachofuata ni mvua tu hakuna ziada.
Nani kakuambia kakiri kosa...alichofanya siyo kosa...umeisoma hukumu au mawazo yanatoka kwenye masaburi?
 
Wameamua kufanya haraka kabla ya mawakili waliouitolea kufika huko. Wanajua wazi hakuna kesi hapo kama kina utetezii unaoeleweka. Kuanzia sasa hili liwe fundisho kwa mawakili wote wanaojitolea kutetea haki kuwahi mapema kwa wateja wao.
Itakuwa ni mchezo umechezwa na serikali hii ya hovyo
 
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ™πŸΌ
 
Hii kesi ingizwe kwenye guines book of world record πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…