Otoman empire unasema ni jambo zuri ?! Ngoja waanze kuwachukia Utumwa na Kuwakata shafti zenu ili msizae kama walivyokuwa wakiwaafanyia mababu zetu wa Kiafrika.Acha tu uhuru kenyatta apambane na hali yake sisi siku hizi tuna uhusiano mzuri na uturuki that why wanatujengea SGR kwa bei chee kabisa
Kubwa zaidi kama ni kweli uturuki wanataka kurudisha ottoman empire ni jambo jema saana
Maybe the souls of the casualties were sacrificed. Who knows? Ya dunia ni mengi.Magaidi walijua mwamba umeingia
Hatutakubali tena Ottoman empire kuja kutufanya Watumwa Never again!.
Aliyewachokoza magaidi ni handsome Mwai kibakiHuyo Uhuru alipoingia madarakani ndio mashambulizi yalianza. 2013 West gate
2015 garissa
Unaumwa upele si bure wewwwwwwAliyewachokoza magaidi ni handsome Mwai kibaki
Aliyewachokoza magaidi ni handsome Mwai kibaki
Hatutakubali tena Ottoman empire kuja kutufanya Watumwa Never again!.
UView attachment 1151382View attachment 1151384
Hawa ni baadhi ya Waafrika wenzetu waliokatwa sehemu zao za siri wakiwa utumwani kwenye Dola la kiislamu la Ottoman ambao leo ni Turki.
Babu yake Ben Carson angekatwa shafti leo Ben angelikuwepo?! Waarabu walipeleka Mamailioni ya mababu zetu huko kwao kakini leo hakuna kizazi kilichobakia ila Wazungu leo anagalia akina Kobe BryantIla hamkumbuki WAZUNGU walikua wakiwafanya nini etiU
Hii si vita ya Kenya pekee, tuache ushabiki tuwafyeke hawa jamaa kwa pamoja!Watanzania wauawa Somalia, yumo Mahad Nur wa City Mall
Sawa.....ila as long hawafanyi magumashi Lkn kwa Hawa ndg zetu hawaachagi asili yao Ova Fanya kautafiti kadogo ujue nani wameshika hatamu ya ujangili. Kifupi Watanzania ni watu walio kirimiwa upendo wa ajabu sana na Mungu.www.jamiiforums.com
Babu yake Ben Carson angekatwa shafti leo Ben angelikuwepo?! Waarabu walipeleka Mamailioni ya mababu zetu huko kwao kakini leo hakuna kizazi kilichobakia ila Wazungu leo anagalia akina Kobe Bryant
Sema lingine
Shambulio hilo halijatokea kwenye aridhi ya Tanzania so Tanzania haitoingilia ugomvi usio wahusu hivyo basi sisi kama watanzania tunaitakia kila la kheri KDF huko
Somalia
Babu yake Ben Carson angekatwa shafti leo Ben angelikuwepo?! Waarabu walipeleka Mamailioni ya mababu zetu huko kwao kakini leo hakuna kizazi kilichobakia ila Wazungu leo anagalia akina Kobe Bryant
Sema lingine