Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

Leaked documents sent to CIA from Djibouti embassy were deliberately leaked to Wikileaks.. Zinaonysha vizuri kwamba USA ilikataa mpango wa Kenya wa ku form Jubaland administration kama buffer zone ya Kenya. Infact, inaonyesha vile marekani ilipinga mpango wa Kenya kutuma wanajeshi somalia ilihali tunapakana tena tuko na refugees wa kisomali... USA ilikua inataka nchi ambazo hazipakani na Somalia ndo zitume majeshi huko.

Canonical ID:09DJIBOUTI1389_a
Original Classification:
CONFIDENTIAL
Current Classification:
CONFIDENTIAL

Summary: During a December 8 meeting on the margins of the Djibouti IGAD ministerial visiting AF Deputy Assistant Secretary Wycoff and Kenyan Minister of Foreign Affairs Wetangula agreed to continue to work together to promote stability and political reconciliation in Somalia. DAS Wycoff told Wetangula that the USG continued to strongly oppose the Kenyan "Jubaland" initiative as a bad idea that would more likely add to Somalia's instability than to help stabilize the country. Wetangula defended GOK plans to pursue its Jubaland (southern Somalia) initiative, implied that it was in evolving concept, and offered to facilitate better USG understanding of Kenya's plans.

--------
At the same time Kenya pia ilikua ina support TFG kuanzisha serekali mogadishu
-----------
Wetangula alleged that only a tiny fraction of the Brussels pledges to the TFG had been realized. The GOK had given the TFG money from time-to-time, but it "was not rich." Only the West could provide the support needed by the Somali government. He urged that the USG take the lead in galvanizing the international community. Wycoff recounted USG efforts both to provide direct support to the TFG, but also to encourage its friends and allies to provide material and budget support. HE also highlighted USG efforts to promote political reconciliation and negotiations in support of the DPP. Wycoff also pointed out that the U.S. was the primary provider of support to AMISOM.

----

Source: https://wikileaks.org/plusd/cables/09DJIBOUTI1391_a.html
USA Was not in support of KDF going alone to somalia as per the UNSC resolution that countries that share a common border cannot conduct any millitary or peace keeping mission across their neighbor's border. This KDF only mission was called operation linda nchi which USA was totaly aganist as per the law..The usa/britain came in after Kenya followed international law and formed AMISOM Troops under the command of UN.
But All this legal jargon is irrelavant to uneducated somalis who are deeply tribal and see kenya as an adversary who is proping up tribe A aganist Tribe/Clan B. While alshabaab see kenya as USA sympathisers in their so called holy war.
Kenya has no business in enganging these shitholes in either war or peace, they are thankless fools who only preoccupation is clannism
 
Yaani binadamu ni watu wa ajabu sana....Sometimes tofauti yetu na wanyama ni zero...Hivi vita vya kikabila Afrika vinatufilisisha....Tumebarikiwa sana sisi WaKenya na WaTz we have never experienced war...War is a curse...
 
Jubalanda

haijajitenga na wala haina mpango wa kujitenga.
Somalia ni nchi mbili tu Somaliland na Somali ambazo ziljiunga Baada ya uhuru na Sasa zimetengana tena baada ya Majunta wa Somalia kusini kuanzisha Ethnic cleansing thidi ya Watu wa Somaliland

Wasomali wa somalia ni watu wakorofi sana halafu wana Alergy na Amani.
Tatizo wanambegu za uarabu ndio maana
 
Kwaiyo juba ipo chini ya KDF kimamlaka ?
Jubaland ni eneo fedaral la Somalia ambalo linajitawala chini ya rais Ahmed 'Madobe' Mohamed Islam. DPP wa Kenya Noordin Haji, kwenye CV yake ameandika moja ya mafanikio yake makubwa kama; .....'successfully created the Jubaland Federal Republic of Somalia'. >>>http://www.horndiplomat.com/2018/03...-secure-kenyas-borders-dpp-nominee-tells-mps/
Hakuna aliyesema Jubaland ni nchi ila ni mkoa unaosaidiwa na Kenya kiusalama ili serikali ya Mogadishu isipate Uchochoro wa kuingilia kwenye Ardhi ya Kenya.
 
Raisi Uhuru Mwigai Kenyatta ni mjanja sana na nikiomgozi pekee ambae anacheza karata zake vizuri sana
Angekua mjanja angewasoma hawa wajinga na kenya ibaki salama bila kutumia hela kwa mijitu ambayo haina asante.
Linganishi huyu mjinga na karata aliyo cheza magufuli dhidi ya Rwanda na malawi walio kua karibu wamtoe roho kikwete..Sasa rwanda kipenzi chake cha moyoni ni Tanzania. Museveni naye ameona Rafiki wa kweli tanzania
 
Uhuru anajua kuwa Turkey ya Ordogan inatoa mafunzo ya kijeshi na silaha za kisasa ili somalia isambaze dini kwa njia ya jihad kwenye nchi zote za Afrika ya mashariki na kati
 
downloadfile-1.jpg

United Kenya ni mwiba kwa Magaidi.
 
USA Was not in support of KDF going alone to somalia as per the UNSC resolution that countries that share a common border cannot conduct any millitary or peace keeping mission across their neighbor's border. This KDF only mission was called operation linda nchi which USA was totaly aganist as per the law..The usa/britain came in after Kenya followed international law and formed AMISOM Troops under the command of UN.
But All this legal jargon is irrelavant to uneducated somalis who are deeply tribal and see kenya as an adversary who is proping up tribe A aganist Tribe/Clan B. While alshabaab see kenya as USA sympathisers in their so called holy war.
Kenya has no business in enganging these shitholes in either war or peace, they are thankless fools who only preoccupation is clannism
After Nairobi trained the TFG and Uganda also joined them to go and fight in Mogadishu, nothing much happened in terms of mobilising resources to restore peacein Somalia, I remember M7 complaining at UN General Assembly that the Uganda was doing the heavy lifting while no resources were being mobilized by the rest of the world.

At the time of KDF entering Somalia, Kenya was looking for investors in the lapsset project which we could not get due to Somali Pirates being allowed to use Somalia as a staging ground, A tourist couple in Lamu had just been kidnapped at a hotel in Manda Island and an aid worker from MSF had also been kidnapped at the dadaab refugee camp..... But more worrisome to GoK was the unprecedented influx of Somali refugees just when western countries had begun to stop taking refugees from war-tone countries, GoK at the time was taking in around 6,000 refugees a day and no one in the west seemed to be concerned about it. ....... This was the situation at the time it all seemed hopeless, a reason why GoK decided to start building the first 3 berths in Lamu with her own money to show investors that the government was serious and was willing to put its money.
 
Jamhuri ya Kiislamu ya Turkey inatoa mafunzo ya kijeshi Somalia lengo lao kubwa ni Kutangaza Jihadi kwenye ukanda Wa Afrika Mashariki,Turkey badala ya Kujikita katika huduma za Kibinadamu imedhamiria kurudisha Dola ya Kiislamu Kuanzia Somalia hadi Sofala Mozambique
Hizi picha zinaonyesha Mafunzo hayo yakitolewa.
downloadfile-2.jpg
maxresdefault-1.jpg
MpbGpZa.jpg
 
Somalia ni hatari kwa Amani na utulivu wa Ukanda wa Afrika ya Mashariki haswa kutokana na chuki zao kwa jamii za Kikristo
Huu sio wakati wa kupuuza.
Tukipuuza mapanga ya jihadi yatakuja kugonga milango ya nyumba zetu huu sio wakati wa kumuachia Uhuru Mwigai Peke yake.
 
Acha tu uhuru kenyatta apambane na hali yake sisi siku hizi tuna uhusiano mzuri na uturuki that why wanatujengea SGR kwa bei chee kabisa

Kubwa zaidi kama ni kweli uturuki wanataka kurudisha ottoman empire ni jambo jema saana
 
Somalia ni hatari kwa Amani na utulivu wa Ukanda wa Afrika ya Mashariki haswa kutokana na chuki zao kwa jamii za Kikristo
Huu sio wakati wa kupuuza.
Tukipuuza mapanga ya jihadi yatakuja kugonga milango ya nyumba zetu huu sio wakati wa kumuachia Uhuru Mwigai Peke yake.
Huyo Uhuru alipoingia madarakani ndio mashambulizi yalianza. 2013 West gate
2015 garissa
 
Back
Top Bottom