Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
 
Dirisha kubwa limefunguliwa hadi asajiliwe na azam, na kama ndivyo mgogoro wake na Yanga umekwisha?.
 
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.

Jina lako linasadifu uwezo wako wa maarifa,Hivi kuna ulemavu wa akili?
 
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Akauzwe Amerika kusini? Timu ipi?

Kwingine unaweza kuwa sawa, ila kuuzwa Amerika kusini ni famba.

Ni nadra sana wachezaji wa Mataifa ya Afrika kucheza huko. Uarabuni, sawa.
 
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Yote mema
 
Simba hatuna shida aende tu
 
Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
 
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalalam
Tuna jambo letu haya mambo ya mpira yaacheni kwanza kuna issue ya Bandari.
 
Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
Huwa tunaamini mwenye pesa ndio mwenye akili lakini siyo sawa, Azzam wana pesa za kutosha lakini akili hawana.
 
Back
Top Bottom