Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Eti Amerika Kusini, hahah. Ungeniambia nchi za kiarabu labda ila Colombia, Peru, Uruguay, Argentina, Brazil. Hii ni chaiii tena ya moto, tuongezee mkate tu. Hizo nchi kwanza hazina hela halafu zinunue mchezaji wa kutoka Zenji wa nini wakati mchangani huko kwao wanapata wachezaji wenye vipaji zaidi....
 
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Hivi mnajua kwa nini Simba wamemuacha Okrah kabla hata ligi haijaisha? Kifuatacho ITV....
 
Km Chama ameridhia kuondoka, sisi hatuna hiyanaa mlango uko wazi asepee.
@cocastic ,unaupiga mwingi sana sana kila jukwaa nakuona ukichangia uko vyema mdada.majukwaa mengi sana kila kona upo.kongolekwako.
 
Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
Pointi kubwa sana ,au pengine scouting yake haina meno.
 
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.

Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Chama kisha saini zamani, baada ya Simba kuona Yanga wanahangashwa na Fei kama sikosei mwezi wa tatu alikuwa kishamalizana na Simba na hata Dickson Job tayari kishamalizana na Yanga.

Azam naona hata Academy yao hawana time nayo sasa hivi wanatafuta shortcut na ndio maana wahuni kwenye usajili, Ndala na Sopu waikuwa watue Simba ila uhuni na nguvu ya fedha ilitumika.
 
Ardhi kariakoo na Feisal nani mwenye thamani?

Deal done, wajinga wengi mpaka leo bado hamjui kama Yanga ni timu ya serikali, hao unaowaona ni cover tu, wenye timu wakiamuwa Hakuna wa kwenda kinyume na wanavyotaka wenye timu.

Angalia bodi za wadhamini za Simba na Yanga huenda kama una akili utapata japo chembe ya ukweli ambao wengi hamuujuwi.

Wakati mama anamwambia GSM sikubinyi na nyinyi pesa mpeleke kwenye mpira wewe ulielewa chochote hapo?
Kwani nani hajui GSM iko chini ya born town?
We nae hebu tutoleee ngenga hapaa, sasa km ni serikali si wangeshajenga zamani tyuuh hapo kwenye dimbwi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
Mbona azam ni team inayoongoza kabisa kutengeneza wachezaji kina Aishi, sureboy, Mudadithir , Faridi hadi yule aliye Royal Antwerp Novartus
 
Azam wataweka tu hela ya kubunja mkataba, halafu mtamruhusu. Na hatutaki mje kuanzisha fujo humu jukwaani za kumtuhumu mwekazaji kuhujumu timu yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mkataba wake una kifungu cha kuvunja, na yeye akatimiza masharti yaliyo ktk kifungu hicho,

Wala hatutokua na pingamizi, hata mitandaoni tuta mtakia kila la kheri, sio lazima aje tukae mezani, tupoteze muda kwann?

Tuna mambo mengi ya kufanyaa.
 
Chama kisha saini zamani, baada ya Simba kuona Yanga wanahangashwa na Fei kama sikosei mwezi wa tatu alikuwa kishamalizana na Simba na hata Dickson Job tayari kishamalizana na Yanga.

Azam naona hata Academy yao hawana time nayo sasa hivi wanatafuta shortcut na ndio maana wahuni kwenye usajili, Ndala na Sopu waikuwa watue Simba ila uhuni na nguvu ya fedha ilitumika.
Chama bado Simba. Hajasign. Anasema anapumzika kwanza. Job sijajua kama sasa amesha sign tena Yanga.
 
Back
Top Bottom