Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Sio hawana shida na mkataba, Mambo ya masharti matatu ya njoo umalizie mkataba, njoo uongezewe maslahi, timu inayokutaka ije ndo hayatakiwi kuwepo. Lililopo ni mkataba unasema ukitaka kuondoka utulipe Tsh ngapi basi, unalipa unaondoka. Iwe ni Club imekulipa au wewe mwenyewe umejilipia.Utaratibu unajurikana, atawawekea pesa Simba kwenye account atakwenda Azzam.
Simba hawana tatizo na swala la mkataba, inatakiwa Chama aweke pesa kwenye account ya Simba asepe zake.