The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Hivi una ulemavu wa makalio? Mbona umeyabinua hivyo na unatembea upande upande?
Mimi siwekagi batle na ma binti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi una ulemavu wa makalio? Mbona umeyabinua hivyo na unatembea upande upande?
Umeonaee.Wanatuletea ili tu sahau lile la msingi
Mnatunga taarifa au CIO😆😆Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Coca kumbe Mnyamani.Km Chama ameridhia kuondoka, sisi hatuna hiyanaa mlango uko wazi asepee.
Sasa kuliko kumchukua (kama mayele) si bora amchukue mayele mwenyew🤔🤔Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
Utaratibu unajurikana, atawawekea pesa Simba kwenye account atakwenda Azzam.
Simba hawana tatizo na swala la mkataba, inatakiwa Chama aweke pesa kwenye account ya Simba asepe zake.
Yeaaah chama kubwaa, lunyasiCoca kumbe Mnyamani.
Hongera ndo maana una uzito stahiki.Yeaaah chama kubwaa, lunyasi
[emoji881][emoji881][emoji881]
Ndio mmemuachia kwa shingo upande kisa Rais kasema🫣🫣utopolo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utaratibu unajurikana, atawawekea pesa Simba kwenye account atakwenda Azzam.
Simba hawana tatizo na swala la mkataba, inatakiwa Chama aweke pesa kwenye account ya Simba asepe zake.
Vipi, ile milioni 100 mmeichukua au bado mmezira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa tunaamini mwenye pesa ndio mwenye akili lakini siyo sawa, Azzam wana pesa za kutosha lakini akili hawana.
Ardhi kariakoo na Feisal nani mwenye thamani?Vipi, ile milioni 100 mmeichukua au bado mmezira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
asante kaka unajua n mim pekeangu nilikua najua hli jamaa n chizi et bado chama hahahaJina lako linasadifu uwezo wako wa maarifa,Hivi kuna ulemavu wa akili?
Of course punga unakuwa weak sana. Sababu ya ulegevuMimi siwekagi batle na ma binti
kama una akili japo za kuvukia barabara jiulize ni kwa nini viongozi wako waliitwa kwenye mnuso ikulu na wote wakaenda bila kupenda?Ndio mmemuachia kwa shingo upande kisa Rais kasema🫣🫣utopolo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shantao maana yake anayeingiliwa......unatumia IDs zako zote mbili kuji support.asante kaka unajua n mim pekeangu nilikua najua hli jamaa n chizi et bado chama hahaha
zile ni biashara za watu! HazikuhusuAzam compay wameshindwa kuitengeneza timu yao kuwa timu ya kueleweka yaani ipo ipo tu.
cc hatunaga utopolo wa kuongeza namba kwenye mikataba ya wachezajiKm Chama ameridhia kuondoka, sisi hatuna hiyanaa mlango uko wazi asepee.
Azam wataweka tu hela ya kuvunja mkataba, halafu mtamruhusu. Na hatutaki mje kuanzisha fujo humu jukwaani za kumtuhumu mwekazaji kuhujumu timu yenu.Km Chama ameridhia kuondoka, sisi hatuna hiyanaa mlango uko wazi asepee.