Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Dirisha kubwa limefunguliwa hadi asajiliwe na azam, na kama ndivyo mgogoro wake na Yanga umekwisha?.Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Samahani naomba kuuliza, Cloutus Chama ana mkataba mpaka mwaka gani na Simba?Km Chama ameridhia kuondoka, sisi hatuna hiyanaa mlango uko wazi asepee.
Utaratibu unajurikana, atawawekea pesa Simba kwenye account atakwenda Azzam.Samahani naomba kuuliza, Cloutus Chama ana mkataba mpaka mwaka gani na Simba?
Akauzwe Amerika kusini? Timu ipi?Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Yote memaNliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Simba hatuna shida aende tuNliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
Mwakani.Samahani naomba kuuliza, Cloutus Chama ana mkataba mpaka mwaka gani na Simba?
Tuna jambo letu haya mambo ya mpira yaacheni kwanza kuna issue ya Bandari.Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalalam
Hivi una ulemavu wa makalio? Mbona umeyabinua hivyo na unatembea upande upande?Jina lako linasadifu uwezo wako wa maarifa,Hivi kuna ulemavu wa akili?
Nenda jukwaa la siasa usituletee stress huku, hatutaki mambo yenu.Haya mambo ya mpira yaacheni kwanza kuna issue ya Bandari.
Huwa tunaamini mwenye pesa ndio mwenye akili lakini siyo sawa, Azzam wana pesa za kutosha lakini akili hawana.Kwanini Azam nae asifocus huko wanakopatikana hao wakiwa bado wa bichi kabisa kuliko kupambana kuwapata hawa ambao washatumika hapa hapa bongo?
Anazama huko Congo anachukua Mayele flani hivi huko anakuja hapa anakimbiza kama Fiston kalala
Wanatuletea ili tu sahau lile la msingiHaya mambo ya mpira yaacheni kwanza kuna issue ya Bandari.
Wanatuletea ili tu sahau lile la msingi