Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

Utaratibu unajurikana, atawawekea pesa Simba kwenye account atakwenda Azzam.

Simba hawana tatizo na swala la mkataba, inatakiwa Chama aweke pesa kwenye account ya Simba asepe zake.
Sio hawana shida na mkataba, Mambo ya masharti matatu ya njoo umalizie mkataba, njoo uongezewe maslahi, timu inayokutaka ije ndo hayatakiwi kuwepo. Lililopo ni mkataba unasema ukitaka kuondoka utulipe Tsh ngapi basi, unalipa unaondoka. Iwe ni Club imekulipa au wewe mwenyewe umejilipia.
 
Mimi nikafikiri atauzwa MCI kumbe atauzwa uruguay. Astakafirullah
 
Chama kafanyiwa sub mechi ya KMC kelele kibao, siku akifanya uhuni kama wa Fei mtaenda kulala kwa Mangungu.
 
Kakudanganya nani? Nenda MMU kapeleke siasa kule uone.
Siasa ndio inaamua kila kitu huwezi kuikwepa tatizo letu sisi wanainchi uelewa ni mdogo (siasa ni maisha), tumewaachia kikundi cha watu wachache waamue hatma ya maisha yetu watakavyo, pasipo kuchukua hatua yoyote ile pale inapobidi, lakini hili limetengenezwa kwa maksudi na kwa ustadi mkubwa ili kuwatoa watu kwenye mstari, badala ya kujadili hatma ya maisha yetu na taifa letu na wanao tuongoza, sisi tunajadili Usimba na Uyanga mengine tunawaachia wao wafanye watakavyo.
 

Frank I Ritte​

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2023
 
Akauzwe Amerika kusini? Timu ipi?

Kwingine unaweza kuwa sawa, ila kuuzwa Amerika kusini ni famba.

Ni nadra sana wachezaji wa Mataifa ya Afrika kucheza huko. Uarabuni, sawa.
Ni sawa na kuchota maji bombani na kuyapeleka mto Rufiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…