Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Biashara ya pesa nyingi hivyo wameshindwaje kutafuta kampuni yenye jina na uzoefu wakafanya nayo kazi
Mkuu hoja yako ni ipi? Mbona jamaa kwenye hiyo clip ameshaonyesha kuwa walifika hadi ofisini na wakaverify brela kuwa kampuni ni halali ndo wakaanza kulipia.

Huyu anayejiita billionea hana pa kutokea zaidi ya kulipa hiyo 100m iliyobaki. Kwanza alishakiri mwenyewe kuwa alilipwa hizo pesa .Alipe tu au awape magari yao wao wamalizie balance ilobaki. Period.
 
Mkuu ushawahi kuagiza chochote nje? Majamaa walishtuka baada ya kuona mda unaenda nje na makubaliano wanapigwa kalenda,akawaonyeshea draft feki,kampuni anayosema ananunua magari huko china hawamtambui,ukiagiza mzigo kuna tracking ya mzigo wako popote unapofikia unaona,jamaa hana hata means mzigo hajaagiza,sasa hao majamaa kosa lao ni nini hapo, bilionea ni tapeli tu.
 

Nishaagiza sana vitu nje mkuu ,najua huyo kanjibai anazungumzia B/L ambayo inatumwa kwa DHL au courier service yeyote ambayo ni Doc ina info za mzigo/meli etc

Kwanini huyo Kanjibai baada ya week tu kabadili gear angani? Kuna mbinu za biashara ambazo wafanyabiashara hutumia ili kumpata mteja ,hata mimi ukija nitakwambia mzigo upo ili uingie kwenye 18 ,ukishanilipa ndipo naanza process za kuagiza....Hao makanjibai ni wale watu wenye wenge la hela wameona kusubiria mwezi mrefu wakati hela zinawawasha.
 
Sisi wagalatia tukubali huyu Samwel ni tapeli. Hajaonewa kabisa huyu Kobaaz yuko sahihi na mkweli.


adriz Accumen Mo hydroxo
 
Ila Tanzania tuna chuki kwani mtu kujiita billionea ni kosa
Yaani unaumia mtu kujiita billionea aisee tuna wivu mbaya sana
Umejuaje nimeumia? Unajua maana ya wivu? Unajua maana ya chuki? Huyu huyu jamaa ndiyo kwanza namsikia. Nimesema mabilionea wa kweli hawajipigii debe. Nimesema wasomi wa kweli hawajipigii debe.
 
Matapeli wote ndiyo zao. Kesi za madai wanazipenda sana. Ku-deal nao kwa njia za kihuni ndiyo lugha wanayoelewa.
 
Biashara ya pesa nyingi hivyo wameshindwaje kutafuta kampuni yenye jina na uzoefu wakafanya nayo kazi
Wewe Una uhakika hiyo biashara inayosemwa ndio yenyewe?

Mjini kuna mambo Hadi wezi sasa hivi wanafunga mikataba ya kisheria kukwepa kudhurumiana.

Kile unachoona kinadaiwa kiuhalisia sicho, hiyo ni cover Tu lakini wahusika wanajuwa wanadaiana nini.
 
Wewe Una uhakika hiyo biashara inayosemwa ndio yenyewe?

Mjini kuna mambo Hadi wezi sasa hivi wanafunga mikataba ya kisheria kukwepa kudhurumiana.

Kile unachoona kinadaiwa kiuhalisia sicho, hiyo ni cover Tu lakini wahusika wanajuwa wanadaiana nini.
Binafsi kwa upande mwingine naona kuna jambo fulani lingine lilikuwa linakusudiwa hapa
 
Biashara ya pesa nyingi hivyo wameshindwaje kutafuta kampuni yenye jina na uzoefu wakafanya nayo kazi
Boss wangu naomba nikujibu nikutoe kwenye hii dhahama.
Mm ni msafiri na mfanyabiashara za nje, haswa china japan na ufilipino.
Huyu jamaa ni kma vijana wengine wa kibongo. Anajitangaza, hopefully ni rahisi kumuamini na kumsupport. Ni sawa ww duka la addidas lipo mlimani ila ukanunua kiatu kkoo au sinza.
Hawa ni wawekezaji wamemuamini mzawa. Some deals tunafanya na watu kupata urahisi na ufanisi.
Huyu kijana ni muhuni. Naijua hyo issue vzuri. Toka post ya kwanza nilisema achaneni kumtetea huyo bwana.watamlawiti. kaleta tamaa. Atalawitiwa.
Nikasema issue hta sio ya viongozi.. ni watu tu wakawaidw saaaana. Yy anawachukulia poa atalawitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…