Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

Kwa hiyo Muliro anafanyakazi kipuuzi kwa maagizo ya hawa jamaa?
 
Umejuaje nimeumia? Unajua maana ya wivu? Unajua maana ya chuki? Huyu huyu jamaa ndiyo kwanza namsikia. Nimesema mabilionea wa kweli hawajipigii debe. Nimesema wasomi wa kweli hawajipigii debe.
Yeye kaamua kujiita billionnaire we kinakukera nini acha wifu
alafu kama hulikua hujui wauzaji magari
kumiliki billionaire ni kawaida sana kwao

Biashara ya magari inaganji kubwa sana gari moja anaweza akala ganji hata la million
 
Watu wengi wa jamiiforum hawajui abc za biashara
 
Case closed
 
Kiiingggggg
 
Huu mfumo wa kesi za madai uangaliwe upya, watu wanatumia hiyo loophole kudhurumu watu fedha zao wakijua nikipelekwa Polisi siwezi kulala ndani sababu zaidi ya siku moja na kesi ikipelekwa mahakamani yanayotokea huko yanajulikana tu
 
Hio Muliro kaiframe tu ili kupata backup ya maamuzi yake na exercising his power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…