King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Linakwamakwama liclip bwana
Hata kama, arudishe pesa za watu, otherwise mahakama sheria iingilie kati aswekwe ndani mpaka alipe pesa za watu
Leo zaidi ya miezi sita hakuna hata document moja aliyotoa huo ni wizi sio ku buy time, arudishe tu pesa za watu asijitilishe huruma kwa kumsingizia muliroHizo ni speculation za hao makanjibai ,yaani B/L ndiyo iliyowaaminisha kwamba wametapeliwa? Kuna kubuy time kwenye bizness.
Mkuu naingiaje hapo?Nilisema toka mwanzo, huyo ni msanii anataka kuibq kwa kelele
Mzuqaaaaa copenihageni.Kiiingggggg
Watu wengi wa jamiiforum hawajui abc za biashara
Ushawahi kufanya biashara yeyote?Mkuu acha story za vijiweni jamaa katoa hadi bill of lading feki huyo ni mwizi jamaa wamefuatilia hadi china hajaagiza chochote arudishe pesa hakuna namna
Leo zaidi ya miezi sita hakuna hata document moja aliyotoa huo ni wizi sio ku buy time, arudishe tu pesa za watu asijitilishe huruma kwa kumsingizia muliro
Haujamsikiliza vizuri bilionea ,sikiliza tena ,alisema baada tu ya week jamaa wakacancel biashara.....kwahiyo hiyo miezi sita ni kipindi cha mpito atarudishaje pesa zote 129.2m wakati na yeye wachina washamla panga la usd 18k?
Lakini mkuu, utamuamini vipi huyo mchagga! Kama anajiamini why akimbie!
Hata hiyo usd 18,000 anayosema amekatwa proof ipo wapi? Yule ni muongo kama ilifikaa stage ya kutoa bill of lading maana yake story ya wiki moja ni uongo , huyo mchaga arudishe pesa ya watu kwenye story yake kakiri kulipwa 129m ila yeye hana proof hata moja kwamba kafanya order au kalipa chochote huyo ni mwizi na imepita miezi sita anakuja kulalamika wakati hadi sasa hana proof hata moja ya kununua magari, maana hata leo angeweza kuleta gari kungekuwa hakuna kesi ila hana chochote ni mwiziHaujamsikiliza vizuri bilionea ,sikiliza tena ,alisema baada tu ya week jamaa wakacancel biashara.....kwahiyo hiyo miezi sita ni kipindi cha mpito atarudishaje pesa zote 129.2m wakati na yeye wachina washamla panga la usd 18k?
Mkuu dalali ambae hana mtaji muogope sana,swala 5 sio issue upigaji palepale,watu wengi wamepigwa na hizo yard...heri uende kwa wapikistan gari wanazo unachagua n kulipia....hao wenye ofisi kama vibanda vya shisha kelele tu ukijaa unaumizwa fastaHahaha. Dotto anakuambia ukija na fundi wako kukagua kabla ya kununua anakufukuza. Kwasababu magari ni ya kuaminika na uhakika huna haja ya kushuku. Na Issa ni mtu wa sala tano muaminifu very humble guy. Haki ya nani nitamuungisha Issa hii likizo ya mwezi wa 4 nakuja bongo.
Mwanzo kabisa wa stori ya yule bikionea tapeli, minilisema alipe tu pesa za watu ili aishi kwa amani.Sikuzote tunasema sikiliza story pande zote 2 hapa tumeshajua tapeli ni nani.. tapeli ni huyo anayejiita bilionea na kitendo cha kusingizia kuna mtu mkubwa kitamcost sana
Haya tuliyasema hapa wengine tukaonekana legelege hatujui kukazia pesa inayo ingia kwa uchungu...🤣Mkuu dalali ambae hana mtaji muogope sana,swala 5 sio issue upigaji palepale,watu wengi wamepigwa na hizo yard...heri uende kwa wapikistan gari wanazo unachagua n kulipia....hao wenye ofisi kama vibanda vya shisha kelele tu ukijaa unaumizwa fasta
Hujui abc za biashara sio kosa lakoHata hiyo usd 18,000 anayosema amekatwa proof ipo wapi? Yule ni muongo kama ilifikaa stage ya kutoa bill of lading maana yake story ya wiki moja ni uongo , huyo mchaga arudishe pesa ya watu kwenye story yake kakiri kulipwa 129m ila yeye hana proof hata moja kwamba kafanya order au kalipa chochote huyo ni mwizi na imepita miezi sita anakuja kulalamika wakati hadi sasa hana proof hata moja ya kununua magari, maana hata leo angeweza kuleta gari kungekuwa hakuna kesi ila hana chochote ni mwizi
Hata hiyo usd 18,000 anayosema amekatwa proof ipo wapi? Yule ni muongo kama ilifikaa stage ya kutoa bill of lading maana yake story ya wiki moja ni uongo , huyo mchaga arudishe pesa ya watu kwenye story yake kakiri kulipwa 129m ila yeye hana proof hata moja kwamba kafanya order au kalipa chochote huyo ni mwizi na imepita miezi sita anakuja kulalamika wakati hadi sasa hana proof hata moja ya kununua magari, maana hata leo angeweza kuleta gari kungekuwa hakuna kesi ila hana chochote ni mwizi
Wengi hawajui abc za biasharaMkuu jamaa ni mfanyabiashara siyo kwamba amefanya utapeli bali ni mbinu ya kibiashara ya kumpata mteja ,alichofanya ni kumwambia kwamba mzigo upo then alipie kisha jamaa ndiyo aanze process za kuagiza......Ni wafanyabiashra wengi wanafanya ,hata Bakhesa ukimpigia ukimwambia nataka tani laki moja za sukari atakwambia ninazo lipia na ukute hana hata tani 100 store ila ukishamlipa ndiyo anaanza michakato ,sasa katika kipindi hicho ukiitaji proof naweza nikakupa feki docs ili mradi uingie tu kewenye 18 lakini lengo si kwamba nikupige...Hizo ni mbinu za biashara mkuu ....Hata ukienda K/koo kama hawana wanakwambia kipo store ngoja nikakifate lakini ukweli hawana ndiyo wanaenda kutafuta.
Sawa amekuja humu kulalamika imeshapita miezi sita hakuna gari wala hela wala proof yoyote kama ameagiza au amelipia gari huo ndio wizi tunaousema kkwa muda wote huu unasema umelipia wakati kwa miezi sita hakuna proof yoyoteMkuu jamaa ni mfanyabiashara siyo kwamba amefanya utapeli bali ni mbinu ya kibiashara ya kumpata mteja ,alichofanya ni kumwambia kwamba mzigo upo then alipie kisha jamaa ndiyo aanze process za kuagiza......Ni wafanyabiashra wengi wanafanya ,hata Bakhesa ukimpigia ukimwambia nataka tani laki moja za sukari atakwambia ninazo lipia na ukute hana hata tani 100 store ila ukishamlipa ndiyo anaanza michakato ,sasa katika kipindi hicho ukiitaji proof naweza nikakupa feki docs ili mradi uingie tu kewenye 18 lakini lengo si kwamba nikupige...Hizo ni mbinu za biashara mkuu ....Hata ukienda K/koo kama hawana wanakwambia kipo store ngoja nikakifate lakini ukweli hawana ndiyo wanaenda kutafuta.
Mkuu nimeanza biashara tangu nasoma secondary na kwetu ni wafanyabiashara ila huwezi kuja kulalamika humu ukijua miezi sita imepita na unatoa story ya uongo, hakuna alicholipia hadi leo hata hiyo usd 18,000 hana proof badala ya kuleta story za uongo angekaa waelewane jinsi ya kulipana ila siyo kukimbilia jamii forumsHujui abc za biashara sio kosa lako
Biashara unatakiwa uwe na roho ngumu (ruthless) sio lelema ndo maana wako wachache
Ndo matajiri wote wanaroho ngumu buashara sio rahis kama unavyodhani mteja unamrudishia fedha kirahis rahisi
sikujui ila kwa kauli zako nauhakika haufanyi biashara kubwa unafanya biashara za kawaidaMkuu nimeanza biashara tangu nasoma secondary na kwetu ni wafanyabiashara ila huwezi kuja kulalamika humu ukijua miezi sita imepita na unatoa story ya uongo, hakuna alicholipia hadi leo hata hiyo usd 18,000 hana proof badala ya kuleta story za uongo angekaa waelewane jinsi ya kulipana ila siyo kukimbilia jamii forums
Sawa amekuja humu kulalamika imeshapita miezi sita hakuna gari wala hela wala proof yoyote kama ameagiza au amelipia gari huo ndio wizi tunaousema kkwa muda wote huu unasema umelipia wakati kwa miezi sita hakuna proof yoyote