Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

Kwa kweri ulikuwa unajua, na yametimia.

Ehe ebu tuambie hili Sakata litaishia Wapi?
 
TumainiEl ! Mbona unafanya watu wajinga kiazi wewe! Sasa Bunge likishaisha si ndio tunakwenda kwenye utekelezaje sasa wewe unatabiri kitu gani bila ya kuwa specific! Acha upimbi wako!
 
Au ndio ishu inaanzia hapa kwenye Bandari!!?

Mi nauliza tu mkuu KWA adabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…