Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

Shikamooo mkuuπŸ‘ŒπŸ™
 
Umenita kweli wewe ni mtu wa jikoni hatimaye utabiri umetimia
 
Doh!
 
TumainiEl
Kweli unajua kutuchezea, wewe unachofanya ni kusoma upepo na kutengeneza uzi unaoendana nao kisha kubadili (moderate) posts zako kureflect hali halisi ya wakati huo ( unfortunately hii simpleforum platform (jamii forum wanayotumia) haiweki historia ya mabadiliko katika posts)
 
TumainiEl said:
Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika.
Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea
*************************

Original post hiyo.. naona Kuna editing imefanyika. Uhuni tu.
 
Moderata yupo Mungu ktk Taifa la Tz. Mwezi wa nane ndio huuu nawatakia usiku mwema baada ya Rasha Rasha manyunyu mvua inaendelea.. tukutane Sept. Asante Mungu kwakutimiza unabii.
Acha Utapeli wako wewe, hapa kuna unabii gani?
 
Mkuu huwa sibezi!


Polisi wameshaanza kucheleweshewa posho fulani fulani,

Uhaba wa dola nchini

SIJUI mishahara itakuaje!!?


Tusubiri!!
πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ€£πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tapeli tu huyu, ni bora mmebaini mapema.
 
Code 01 to 31 Aug 2023
JF siyo sehemu ya matapeli, original post yako ni hii kabla hujaedit ili ionekane kweli unajuwa yajayo.

Hii tabia ya kitapeli ni ya kupigwa vita hapa JF kwa kila anayeitakia heshima JF.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-08-31-06-09-42-58.png
    34.8 KB · Views: 8
Halafu mwenyewe anajiona Bonge la mjanja, sisi ndio mafala wake, sasa angalia alivyoumbuka.
 
Mimi hapa nakataa huu siyo utabiri; ila ni facts zilizochotwa kutoka kwenye source maalum ya nchi
Hongera sana
 
Yule alietabiri Magufuli atakua execute ndo huyu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…