Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Duuuu!! Yaani sidhani huyo bidada atathubu tena kuandika ujinga kama huo kwa kweli π€£ππ khaaaa ! Sio kwa majibu haya !Ndoto mbaya sana yaani unjinyea hivi hivi ndotoni. Amka wewe ukachambe achana na ndoto hizo ushachafua mashuka.
Watetezi wa wauza madawa ya kulevya mwisho 2020View attachment 1358079
Sent using Jamii Forums mobile app
Kat yangu na wewe nan mpumbafu?yawezakuwa unaishi kwa kulishwa na mwanamke harafu unakuja jf kutukana...
Kichekesho ni kuwa hii ndoto ya jinamizi inayokukaba asubuhi hii wala haitakwisha!
Hata ndoto ya mchana nayo pia ni ndoto kwa mjinga!
Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, Freeman Mbowe alijiapiza kuwa kama CHADEMA haitaingia Ikulu katika Uchaguzi huo basi yeye atastaafu siasa! Leo hii bado yupo kwenye siasa na wale waliojaribu kumtingisha kwenye kiti Uenyekiti mwaka jana wamekiona cha ''mtema kuni'' huku ''Nyumbu wake'' wakiendelea kumshangilia!
Aseme kwa njia IPI na kwa mazuri gani yanayoweza kuwafanya washinde uchaguzi halali na huru?Watetezi wa wauza madawa ya kulevya mwisho 2020View attachment 1358079
Sent using Jamii Forums mobile app
BILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
Mangula angekuwa na uwezo huo asingeangukia pua kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Iringa , ambako aliangushwa na mvuta bangi aliyeishia darasa la saba , naomba niishie hapa ili nimfichie aibu Mzee wanguWatetezi wa wauza madawa ya kulevya mwisho 2020View attachment 1358079
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo umetoka nje ya mada , nadhani ni kwa vile wewe ni miongoni mwa mabingwa wa kubadili ID na ni kati ya wale watakaokimbia na kujificha , lakini tambua kwamba NOTHING LASTS LONGER , hii ni kanuni ya dunia .Hata ndoto ya mchana nayo pia ni ndoto kwa mjinga!
Nakumbuka kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, Freeman Mbowe alijiapiza baada ya kuota ndoto ya mchana kuwa kama CHADEMA haitaingia Ikulu katika Uchaguzi huo basi yeye atastaafu siasa! Leo hii bado yupo kwenye siasa na wale waliojaribu kumtingisha kwenye kiti Uenyekiti mwaka jana wamekiona cha ''mtema kuni'' huku ''Nyumbu wake'' wakiendelea kumshangilia!
Tumeweka ujumbe mapema ili ujiandae namna ya kubadili ID au kujificha , usije kusema hukuambiwaAisee.
Kumbe inaweza mtu anaweza kuota ndoto huku anatembea
yaani we mtoa mada mwishowako ni october najua sitakuona tena ukshupalia kitu kisichowezekana et upinzani kuchukua dola hivi huo ujinga mnaoshinda mnafanya hamna sera kila siku kuwachokoza polisi ambao hamtawaweza mkipewa nchi hata miaka mia hamuwezi kuongoza mtatutia katika umaskini wa hali ya juu hlea zote mtakuwa mnachezea tu mara kuwasomesha wanafunzi waliotoka kujifungua mara mambo tu ya hovyo mnayoyatetea sasa mnaonekana kabisa nchi mtaiangamia sasa hivi utakuwa unalipwa na mbowe na yule shoga aliyepo nche akiteta na mashoga wenzie halafu huyo ndiyo mumpe u rais hivi ukija sikia mwanao kaolewa utafurahi? maana ndiyo sera za kiongozi wenu lissu acheni uchafu na kuota kuchukua nchi hatujawa wajinga kiasi hichoHili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.
Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!
Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.
Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.
Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.
Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
anaota na akili haina uwezo wa kufikiri pia
ππππyaani we mtoa mada mwishowako ni october najua sitakuona tena ukshupalia kitu kisichowezekana et upinzani kuchukua dola hivi huo ujinga mnaoshinda mnafanya hamna sera kila siku kuwachokoza polisi ambao hamtawaweza mkipewa nchi hata miaka mia hamuwezi kuongoza mtatutia katika umaskini wa hali ya juu hlea zote mtakuwa mnachezea tu mara kuwasomesha wanafunzi waliotoka kujifungua mara mambo tu ya hovyo mnayoyatetea sasa mnaonekana kabisa nchi mtaiangamia sasa hivi utakuwa unalipwa na mbowe na yule shoga aliyepo nche akiteta na mashoga wenzie halafu huyo ndiyo mumpe u rais hivi ukija sikia mwanao kaolewa utafurahi? maana ndiyo sera za kiongozi wenu lissu acheni uchafu na kuota kuchukua nchi hatujawa wajinga kiasi hicho