Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Unailaumu CCM kwa ujinga wa wanasiasa wa upinzani? Mbowe ndiye wa kulaumiws kwa jinsi anavyokiendesha chama kama Mbowe discotheque ama bilicanas. Aanze kuwasikiliza watu wake afanye mabadiliko makubwa
Mboye ndiye anawauza. Huyo si mwanasiasa ni mjasiriasiasa mali
 
Mboye ndiye anawauza. Huyo si mwanasiasa ni mjasiriasiasa mali
Hawaamini.
Wanasema anakijenga Chama.
Hawajui kuwa Mbowe anafanya juhudi za kumiliki chama sio sio kukijenga.
Kujenga Chama ni kujenga mbinu mpya na wanachama wapya bila kusahau uongozi mpya uliojengwa kiitikadi .

Mabadiliko ya uongozi wa juu ndani ya Chadema tangu Kilipoundwa ndio umekua msingi mkubwa wa Chama hicho kukua na kukubalika nchini.

Kwa sasa Chama kinarudi na kuanza moja kabisa kama enzi hiyo ya Mwaka 1992-95.
Yote ni kwa sababu ya kuwa na Mwenyekiti Mbinafsi anayefanya jitihada ya kumiliki chama kwa woga unajiuliza kwani Yeye angepoteza nini endapo angeng"atuka na kuwaachia wengine ili waendeleze napambano !!
Yote ni kuchanganya maslahi na uongozi wa Chama kama ilivyo wale wa CCM wanaovuruga nchi na Demokrasia kwa hofu tu ya kupoteza vyeo na maslahi yao.

CCM wanaua Demokrasia kwa kulinda maslahi yao na Mbowe baye pia anaua Demokrasia ndani ya Chama chake kwa kulinda maslahi yake.

Naona tunataka kutambika .

Cheo sio dhamana tena Bali ni maslahi binafsi.

Kwa heri baba wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mbowe alisema wasilambe sumu kwa ulimi alikuwa ana maana gani? Na hapo hajapata Urais
 
Lipumba 😆😆😆😆
 
Napendekeza huyu awe mgombea urais. Nina imani atamshinda Jiwe
 

Attachments

  • FB_IMG_1581857786376.jpg
    51.7 KB · Views: 9
Bila tume huru hupat haya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani waliona mbali ndo maana wakampiga stop Bashite kuingia kwao wanajua atakimbilia kule kutafuta hifadhi,ccm ijiandae kuwa chama cha upinzani au ibaki tu kwenye maandishi kwa vizazi vijavyo
 
sasa wapeni uenyekiti mwambe na sumaye huko ccm,tuone hata kama watadhubutu kutangaza tu nia kugombea wenyekiti wa chama taifa
 
Uchaguzi tu uliopita wa ndani ya chadema makamanda kibao wakubwa wa kuitetea chadema mitandaoni wametokomea hawaitetei Tena mmoja Ni salary slip mwingine Ni Goliath Mfalamagoha nk
 
CCM itaondoka madarakani lakini sio leo au 2020.
Hakuna marefu yasio na ncha.
Kosa kubwa litakalo waangamiza ni kujali VITU badala ya WATU.
Yawezekana wasiondoke kwa njia za kawaida kama uchaguzi lakini wakaondoka kwa mifarakano ndani ya chama,ukosefu wa ajira,majanga makubwa kama maradhi mabaya kama Corona virus,Ebola,SARS,Ukimwi.Au matakwa ya nchi za magharibi.
 
Tutakuja kuwasekwa ndani wote tena bila dhamana kwa sheria ya uhujumu uchumi wasiotaka kuibadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…