Tetesi: Baada ya CCM kupigwa kwenye mshono, sasa yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ujumbe mzito kutoka kwa mtu mzito Zanzibar-ASP sasa tutape burudani kutoka kwa Lucas Mwashambwa mkali wetu wa kulia na kunengua!
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ili sio shambulio la ghafla, wewe ndio upo surprised.
 
Wana kipi kipya zaidi ya aidha kumvua mtu uanachama, kubambikia kesi ya uhaini au kuua kabisa.

They are so predictable.

Baada ya leo slandering campaign dhidi ya Polepole itaanza. Kila chawa mpumbavu atajifanya anatoa kauli za kumtukana na kumjibu Polepole.

Funga kazi itakuwa Queen Mother mwenyewe, akipanda stejini atatoa maneno ya kejeli na mafumbo kama mke mwenza aliepokonywa zamu.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Sasa mtu kaachana na Ubalozi na allowance ya $12,000 kwa mwezi atishike na kuvuliwa uanachama wa Chama cha Kishenzi na Mauaji???
 
Back
Top Bottom