Tetesi: Baada ya CCM kupigwa kwenye mshono, sasa yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
CCM ambao ni wafuasi wa mama huwa wanawaza kwa kutumia makalio
 
Ikitokea,namba yake ya uanachama wanikabidhi,ila na Ubalozi wake pia,ili nisongeshe gurudumu.
 
Asan t e sana...mpiga filimbi wa melini
Sio mpiga filimbi wa Melanie bali ni mpiga filimbi wa Hamelin.
Hamelin ni mji upo mpaka leo huko Uingereza.
Kitabu chake cha kiingereza kinaitwa The Pied Piper of Hamelin.
Vitabu hivyo viliyusaidia sana kujifunza kusoma na kupenda kusoma tukiwa wadogo
 
Nilikuwa nikiskia hizi story kwa kipenzi bibi yangu
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ubalozi vs unachama, kipi ni bora
 
Wakati wa uhuru, Taifa letu liliwekwa chini ya ulinzi wa Mungu, na maombezi ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya asili.

Hakika, kila mtawala atakayetenda ushetani mbaya wa kupindukia dhidi ya binadamu wenzake, Mungu atatenda, alimradi wawepo watu watakaoulilia mkono wa Bwana kwa unyenyekevu wa kweli.

Tutarajie makubwa zaidi baada ya yale maombi makuu ya Aug 23. Mungu wetu siyo kiziwi wala hakawii kujibu pale wamtegemeao watakapomlilia, naye hutenda kwa namna ya ajabu, hata isiyotarajiwa, kwa maana hekima ya Mungu siyo ya mwanadamu.

Huu ni mwanzo, makubwa zaidi yatafuata, labda farao abadilike na kuigeukia haki. Akikaidi, akajenga kiburi, atashuhudia ukuu wa Mungu wa haki na upendo.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Namna gani ya kufanya kurejesha uongozi wa chama cha mapinduzi kwa wanamapinduzi ndio kitu kinaumiza kichwa wanachama. Mama Samia sio muomini wa ujamaa na yuko karibu na fisadi na wahuni. Wanamapinduzi ndani ya ccm walifikiri angehakikisha kuwapa wanachama fursa kuteua kiongozi mpya badala yake kapiga chenga na kujiteua mgombea urais kwenye kikao cha mkutano mkuu kilichoitishwa kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa ccm. Wanachama kwenye mkutano mkuu walionekana wazi kupinga na kupendekeza katiba ifuatwe ila mama na wahuni waliyopangwa akiwepo mzee makamba wakafaulu hila zao.
Tumeona jinsi rushwa na wizi wa umma kupitia mikopo ya nje ilivyopamba moto. Wageni kumilikishwa mali asili na mashirika ya umma. Mfano Kilimanjaro airport inaendeshwa na wa omani bila kuwepo ulazima. Bandari zote nchini bahari maziwa na mito karibu wangepewa dubai wamili kama mali yao. Mkataba na DP kuendesha bandari ya Dar ni siri hatujui nini kipo ndani. Pori la loliondo wamepewa dubai tangu miaka 30 iliyopita. Wanamiliki kama mali yao. Yaani chini ya uongozi wa mama ni kama vile watanzania ni wajinga hawawezi kitu kila kitu cha nchi tuwape waarabu na wahindi kuendesha. Ukweli wanahongwa wanachukua chao halafu wanajidai sasa mambo yataenda. Badala ya kuhakikisha kuanzia rais wanadhibiti utendaji wanajifanya njia ni kuwapa tu wageni kila kitu wasimamie. Sasa maana ya taifa kua huru ni nini.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ramli za kijinga kabisa. Kwani Polepole agome kuja wakati kule alikuwa anakaa kama Balozi.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Prostitute wa siasa, wala hafiki mbali, habari yake sasa ni FINITO
 
Back
Top Bottom