Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Ujumbe mzito kutoka kwa mtu mzito Zanzibar-ASP sasa tutape burudani kutoka kwa Lucas Mwashambwa mkali wetu wa kulia na kunengua!Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Huyo Lucas ni kama yule mpiga filimbi wa Hameline katika hadithi za kale.Ujumbe mzito kutoka kwa mtu mzito Zanzibar-ASP sasa tutape burudani kutoka kwa Lucas Mwashambwa mkali wetu wa kulia na kunengua!
Aisee huyu pastor ametisha mno..huyu ndiyo nabii sasa
Ili sio shambulio la ghafla, wewe ndio upo surprised.Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Tunawaangalia tu ,Bado yapo mengi yanakuja, chawa nawakumbusha tunzeni pesa vzr.....
Wapo km 4-6 waliongelea kitu hiko hiko Kwa lugha tofautiAisee huyu pastor ametisha mno..huyu ndiyo nabii sasa
Aiseee ni hatari sana Acha tusubiri tushushe bendera Tu maana hakuna namnaWapo km 4-6 waliongelea kitu hiko hiko Kwa lugha tofauti
Huyu pia fuatilia utube aliongea pia kuhusu bendera kuwa nusu mlingoti....
Nilileta link kadhaa kwenye ule Uzi wa yogaMshana Jr hii video naenda kutunza kabatini kwangu Kwaajili ya sherehe siku polepole akiapishwa pale Kwa mkapa
Kwa tunaofualtilia na kuelewa nyakati ndo tiwaambia chawa watunze pesa vzrOhooo, nani huyo anayekwenda kulala milele?
ndani ya viunga vya Basra-Iraq.
Sasa mtu kaachana na Ubalozi na allowance ya $12,000 kwa mwezi atishike na kuvuliwa uanachama wa Chama cha Kishenzi na Mauaji???Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.