PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Ngoja tujiandae mkuu maana kuna kitu kikubwa kinaenda kutokeaNilileta link kadhaa kwenye ule Uzi wa yoga
Yajayo yanavyofurahisha
Kuna yule pastor mwingine mpk alitekwa kisa kusema tutazika mtu
Ooh yesNgoja tujiandae mkuu maana kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea
Yaani wakitaka kuharibu wafanye hivyo.Ngoja tujiandae mkuu maana kuna kitu kikubwa kinaenda kutokea
Hahahaha😀😀😀Aisee huyu pastor ametisha mno..huyu ndiyo nabii sasa
Mbona Gwajima Hawajamvua?Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Wamtoe tuu sababu mtu ukiwa nae safari moja ghafla akaamua kuacha makubaliano sio mwenzio huyoHII YA LINI? HUENDA IMEKUJA BAADA YA POLEPOLE KUJIUZULU
Tena iwe bila cheleachelea.Kuna wengine wanafuata stay tuned.
Usimulinganishe legend wa Hamelin (The pied Piper of Hamelin) na vitu vya ovyo kama Lucas mwanshamba, kutwa kucha yeye ni kububujikwa machozi.Huyo Lucas ni kama yule mpiga filimbi wa Hameline katika hadithi za kale.
mxxxxxxxxiiiiiiii Huyu Mungu anayeiona Cuba na kumtaja jina la Polepole, ahahahahhaha nchi ina senema hiii!
Tena siyo sinema ndogo.mxxxxxxxxiiiiiiii Huyu Mungu anayeiona Cuba na kumtaja jina la Polepole, ahahahahhaha nchi ina senema hiii!
Asan t e sana...mpiga filimbi wa meliniHuyo Lucas ni kama yule mpiga filimbi wa Hameline katika hadithi za kale.