CCM ambao ni wafuasi wa mama huwa wanawaza kwa kutumia makalioBaada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ikitokea,namba yake ya uanachama wanikabidhi,ila na Ubalozi wake pia,ili nisongeshe gurudumu.Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Huu utabiri ulikuwa wa lini?
Clip ya 27 February 2025.
Yani ujinga ujinga tu .Tena siyo sinema ndogo.
We achana na wehu haoHuu utabiri ulikuwa wa lini?
Sio mpiga filimbi wa Melanie bali ni mpiga filimbi wa Hamelin.Asan t e sana...mpiga filimbi wa melini
Nilikuwa nikiskia hizi story kwa kipenzi bibi yanguSio mpiga filimbi wa Melanie bali ni mpiga filimbi wa Hamelin.
Hamelin ni mji upo mpaka leo huko Uingereza.
Kitabu chake cha kiingereza kinaitwa The Pied Piper of Hamelin.
Vitabu hivyo viliyusaidia sana kujifunza kusoma na kupenda kusoma tukiwa wadogo
Ubalozi vs unachama, kipi ni boraBaada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Namna gani ya kufanya kurejesha uongozi wa chama cha mapinduzi kwa wanamapinduzi ndio kitu kinaumiza kichwa wanachama. Mama Samia sio muomini wa ujamaa na yuko karibu na fisadi na wahuni. Wanamapinduzi ndani ya ccm walifikiri angehakikisha kuwapa wanachama fursa kuteua kiongozi mpya badala yake kapiga chenga na kujiteua mgombea urais kwenye kikao cha mkutano mkuu kilichoitishwa kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa ccm. Wanachama kwenye mkutano mkuu walionekana wazi kupinga na kupendekeza katiba ifuatwe ila mama na wahuni waliyopangwa akiwepo mzee makamba wakafaulu hila zao.Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Ramli za kijinga kabisa. Kwani Polepole agome kuja wakati kule alikuwa anakaa kama Balozi.Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Wanu wanu wanumxxxxxxxxiiiiiiii Huyu Mungu anayeiona Cuba na kumtaja jina la Polepole, ahahahahhaha nchi ina senema hiii!
Prostitute wa siasa, wala hafiki mbali, habari yake sasa ni FINITOBaada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.