Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 314
- 438
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram
" Pole sana M/kiti wa Bodi na CEO wa Simba kwa yaliyotokea jana.
Simba ni kubwa sana. Tuseme NO kwa Vitendo.
Tunaweza kuwa na Uwanja wetu ( 30,000) pale Bunju tukiamua.
Vitendo vya jana viwe chachu ya kuanza Bunju development leo.
President @moodewji , M/kiti wa Bodi, M/kiti wa Simba, Bodi nzima na CEO @bvrbvra tufanye maamuzi magumu!!
Tutaona nani atakuja kwetu kwenye mechi zetu kutupangia nani aingie uwanjani. Simba tukiamua hatushindwi!
Simba nguvu moja!!"
Jambo ambalo limepokewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa Lunyasi ambapo karibia comment 1700 zikihimiza na kuwa tayari kuchangia hata leo na hii imedhihirisha ukubwa wa Simba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app