Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swali ulilouliza mwisho unadhani mimi ntajibu?Huenda hazikuwa halali au hazikuwa za VVIP. UTO walipewa kadi 20 za VVIP na Je Simba FC walipewa ndapi?
Naona ni kama ume panic!!Hilo swali ulilouliza mwisho unadhani mimi ntajibu?
Ushaambiwa kadi hazikuwa na majina yao ( means kuna watu walitarajiwa kufika na hawakufika) , wewe unaanza kusema hazikuwa halali or hazikuwa za VVIP, asa mkuu mfano wewe ungekua mimi ungeendelea kumuelekeza mtu wa aina yako?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Wale watoto walikua na kadi za watu wengine ambao hawakufika kitu ambacho nicha kawaida tu kwenye matukio mengi watu hutumia kadi za wasiofikaNaona ni kama ume panic!!
1. Lile eneo watoto hawaruhusiwi
2. Barbara alipewa kadi moja tu ya VVIP.
Sasa ulitaka viongozi wengine watolewe VVIP ila watoto wa madam waketi ama???
Sasa walipataje hizo tikti?Wale watoto walikua na kadi za watu wengine ambao hawakufika kitu ambacho nicha kawaida tu kwenye matukio mengi watu hutumia kadi za wasiofika
Mkuu sijapanic na wala sina mpango wa kupanic, ila unauliza maswali ya kitoto mno mimi kuyajibu.Naona ni kama ume panic!!
1. Lile eneo watoto hawaruhusiwi
2. Barbara alipewa kadi moja tu ya VVIP.
Sasa ulitaka viongozi wengine watolewe VVIP ila watoto wa madam waketi ama???
Kama thamani ya simba nzima ni b.20 mtaweza kujenga uwanja wa b.40, na bado kanjibhai wenu analalamika kila siku kuwa anapata hasara, alafu ukishajenga uwanja unaanzisha na tff yako sio!
Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
imagine huyo ndio kiongozi wao pia.Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
Acha uongo walisema pia hakuna kutumia pia kadi yenye jina la mwengine.Mkuu sijapanic na wala sina mpango wa kupanic, ila unauliza maswali ya kitoto mno mimi kuyajibu.
Nakufafanulia mara ya mwisho usipo elewa basi sasa hata aje mwalimu Yesu wewe hutoelewa.
VVIP kuna idadi maalumu ya watu kukaa, simba kama mwenyeji wa mchezo ana idadi yake ya kupeleka watu.
Kwenye idadi hiyo ya simba baadhi ya viongozi hawakufika, nafasi za viongozi ambao hawakufika ndizo ambazo walienda watoto.
Sasa habari za kutolewa viongozi zinatokea wapi?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hiyo sio sherehe kijana mmezoea kuendesha mambo kiswahiliWale watoto walikua na kadi za watu wengine ambao hawakufika kitu ambacho nicha kawaida tu kwenye matukio mengi watu hutumia kadi za wasiofika
Waweke utaratibu mzuri kila shabiki achangie, naamini wengi tuko tayariHabari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram
" Pole sana M/kiti wa Bodi na CEO wa Simba kwa yaliyotokea jana.
Simba ni kubwa sana. Tuseme NO kwa Vitendo.
Tunaweza kuwa na Uwanja wetu ( 30,000) pale Bunju tukiamua.
Vitendo vya jana viwe chachu ya kuanza Bunju development leo.
President @moodewji , M/kiti wa Bodi, M/kiti wa Simba, Bodi nzima na CEO @bvrbvra tufanye maamuzi magumu!!
Tutaona nani atakuja kwetu kwenye mechi zetu kutupangia nani aingie uwanjani. Simba tukiamua hatushindwi!
Simba nguvu moja!!"
Jambo ambalo limepokewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa Lunyasi ambapo karibia comment 1700 zikihimiza na kuwa tayari kuchangia hata leo na hii imedhihirisha ukubwa wa Simba
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Uwanja sio makasesera kiasi kwamba udhani kila mtu tu anaweza kuwa nao.Tujenge uwanja wetu tuachane na Hawa wajinga
Nani kabisha yote hayo unayoyasema bwana Pancho?Acha uongo walisema pia hakuna kutumia pia kadi yenye jina la mwengine.
Kwa nini watoto watumie kadi sio zao?
Kosa..!
Pili hata Kama ndio hivyo huko kwa maofisa wa Club watoto wakafanye nini?
Simba walipewa kadi 20 VVIP kwa ajili ya maafisa wa club tena zilikuwa zimeandikwa majina yao kabisa ila Babra alivyoselfish akawanyima maafisa wa club kadi zao akawapa watoto wake ambao kimsingi hawana sifa kabisa ya kuingia kwenye jukwaa hilo maalumu la maofisa.Huenda hazikuwa halali au hazikuwa za VVIP. UTO walipewa kadi 20 za VVIP na Je Simba FC walipewa ndapi?
Sawa sawa mkuu umenijibu kistaarabu sanaNani kabisha yote hayo unayoyasema bwana Pancho?
Ninacho kikataa mimi ni kauli kwamba nafasi zilijaa hivyo watoto wangesababisha viongozi wasimame.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Wahindi ni tatizo katika nchi hii.Simba walipewa kadi 20 VVIP kwa ajili ya maafisa wa club tena zilikuwa zimeandikwa majina yao kabisa ila Babra alivyoselfish akawanyima maafisa wa club kadi zao akawapa watoto wake ambao kimsingi hawana sifa kabisa ya kuingia kwenye jukwaa hilo maalumu la maofisa.
Cha kusikitisha zaidi CEO huyo alifika mbali zaidi na kuzitupa chini kadi hizo na kuondoka baada ya watoto wake kuzuiliwa kuingia.
Wala sihitaji maelezo yako.Case closed.Mkuu sijapanic na wala sina mpango wa kupanic, ila unauliza maswali ya kitoto mno mimi kuyajibu.
Nakufafanulia mara ya mwisho usipo elewa basi sasa hata aje mwalimu Yesu wewe hutoelewa.
VVIP kuna idadi maalumu ya watu kukaa, simba kama mwenyeji wa mchezo ana idadi yake ya kupeleka watu.
Kwenye idadi hiyo ya simba baadhi ya viongozi hawakufika, nafasi za viongozi ambao hawakufika ndizo ambazo walienda watoto.
Sasa habari za kutolewa viongozi zinatokea wapi?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Ipo wazi ni CEO....Sawa sawa mkuu umenijibu kistaarabu sana
Lakini unadhani nani mwenye makosa kwenye sakata hili?
CEO.?
Bodi ya ligi?
Sisi mashabiki ndo wachochezi mkuu?