Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sijui watacheza peke yao humo!!
 
Ipo wazi ni CEO....
Japo inaonekana hizo kanuni huwa hazizingatiwi uzingatiaji umeanzia kwake.
Pia Bodi wana visa nae maana kuna mahala nimesoma wanasema alitaka kwenda kununua ticket zingine( aingie VIP ya kawaida) wakamzuia.
Sisi mashabiki pia sioni tunabishana nini, nadhani sababu game imeisha draw so hakuna vingi vya kujadili kiasi kwamba na hii ni mada.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Safi sana kwa hapa sina cha kukubishia umerekebisha yote TFF wawajibike kwenye kazi yao na kuboresha utendaji kwenye mechi zote.

Pia CEO aheshimu kanuni zilizowekwa na viongozi na ajue hakuna mkubwa juu ya mamlaka au vipi?
 
Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.
Usikariri maisha
 
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram

" Pole sana M/kiti wa Bodi na CEO wa Simba kwa yaliyotokea jana.

Simba ni kubwa sana. Tuseme NO kwa Vitendo.

Tunaweza kuwa na Uwanja wetu ( 30,000) pale Bunju tukiamua.

Vitendo vya jana viwe chachu ya kuanza Bunju development leo.

President @moodewji , M/kiti wa Bodi, M/kiti wa Simba, Bodi nzima na CEO @bvrbvra tufanye maamuzi magumu!!

Tutaona nani atakuja kwetu kwenye mechi zetu kutupangia nani aingie uwanjani. Simba tukiamua hatushindwi!

Simba nguvu moja!!"

Jambo ambalo limepokewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa Lunyasi ambapo karibia comment 1700 zikihimiza na kuwa tayari kuchangia hata leo na hii imedhihirisha ukubwa wa Simba

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ila nyie makoli na viongozi wenu ni mapimbi... kama simba ina thaman ya 20B inawezaje jenga uwanja wa zaid ya 40B? Kabacholi mwenyewe kila siku analia hasara.. kweli yule mwenyekiti wenu hakukosea kuwaita mbumbumbu
 
Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.

Sasa Taasisi za Kifeza zipo kwa ajili gani? Hivi unadhani kwa sasa Simba kukopeshwa hiyo Feza na Bank haiwezekani? Mbona mnakuwa na mawazo ya kizamani kiasi hicho?
 
Ila nyie makoli na viongozi wenu ni mapimbi... kama simba ina thaman ya 20B inawezaje jenga uwanja wa zaid ya 40B? Kabacholi mwenyewe kila siku analia hasara.. kweli yule mwenyekiti wenu hakukosea kuwaita mbumbumbu

Upunguze ujuaji ambao una expose kiwango chako duni cha uelewa wa mambo yaliyo wazi tu.Aliyekwambia Simba ina thamani ya 20B ni nani? Wewe unajiona mjuaji kumbe bure kabisa,kwa kukusaidia 20B = 49% ya hisa za Simba. Siku nyingine ukae kwa kutulia kabla hujatuletea hapa ngonjera zako zisizo kuwa na mashiko,umesikia Utopolo?
 
Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
ndio nashindwa kuelewa na mimi

mechi za Simba zote zitachezwa uwanja wa Simba ?

a bunch of idiots, bidada kaja juzi tu washamwita MADAME VERY VERY IMPORTANT PEOPLE
 
Kama vile trump anavyotengeneza social media yake...

Ngoja tuone...
 
Simba walipewa kadi 20 VVIP kwa ajili ya maafisa wa club tena zilikuwa zimeandikwa majina yao kabisa ila Babra alivyoselfish akawanyima maafisa wa club kadi zao akawapa watoto wake ambao kimsingi hawana sifa kabisa ya kuingia kwenye jukwaa hilo maalumu la maofisa.
Cha kusikitisha zaidi CEO huyo alifika mbali zaidi na kuzitupa chini kadi hizo na kuondoka baada ya watoto wake kuzuiliwa kuingia.

Alichojaribu kuleta huyu CEO ni ujuaji usio na maana, sasa upepo uliopo watu wanaamini kaonewa wanahusisha na GSM mara TFF kahongwa

Mtu mzima kuonyesha dharau kwa kutupa kadi haivumiliki, ajifunze kufuata utaratibu
 
Inasikitisha sana kumuona CEO analeta attitude za mama muuza wanzuki.
 
Hv hiz team zetu kubwa haziwezi kujenga viwanja hata kwa mkopo. Then deni likawa hata linalipwa kwa kukatwa asilimia flani kwenye mapato ya viingilio?
 
Acha umburula wewe! Itakuwa ulifeli hisabati darasa la nne ukakariri darasa!
Hata kama simba haina uwezo wa kujenga uwanja wa b.40, lakini thamani ya simba nzima siyo b.20!
Hiyo ni 49% sasa kama hukufeli hesabu bila shaka ungekuwa ushafanya cross multiplication ukaja na jibu halisi la thamani ya Simba!
Kwa hiyo wauze tena hisa 51% ili wajenge uwanja?
 
Sasa hao AC Milan kutokuwa na uwanja ndio justification ya timu zetu pia kutokuwa na viwanja? Bangi haifai jaman hasa kwa wajawazito
Akikujibu nitag mkuu, ili nimuongezee homework za timu kubwa zisizo na viwanja...
 
Back
Top Bottom