Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

Kanjibhai.....hawez jenga uwanja......labda simba wamuombe GSM
 
Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sijui watacheza peke yao humo!!
 
Safi sana kwa hapa sina cha kukubishia umerekebisha yote TFF wawajibike kwenye kazi yao na kuboresha utendaji kwenye mechi zote.

Pia CEO aheshimu kanuni zilizowekwa na viongozi na ajue hakuna mkubwa juu ya mamlaka au vipi?
 
Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.
Usikariri maisha
 
Ila nyie makoli na viongozi wenu ni mapimbi... kama simba ina thaman ya 20B inawezaje jenga uwanja wa zaid ya 40B? Kabacholi mwenyewe kila siku analia hasara.. kweli yule mwenyekiti wenu hakukosea kuwaita mbumbumbu
 
Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.

Sasa Taasisi za Kifeza zipo kwa ajili gani? Hivi unadhani kwa sasa Simba kukopeshwa hiyo Feza na Bank haiwezekani? Mbona mnakuwa na mawazo ya kizamani kiasi hicho?
 
Ila nyie makoli na viongozi wenu ni mapimbi... kama simba ina thaman ya 20B inawezaje jenga uwanja wa zaid ya 40B? Kabacholi mwenyewe kila siku analia hasara.. kweli yule mwenyekiti wenu hakukosea kuwaita mbumbumbu

Upunguze ujuaji ambao una expose kiwango chako duni cha uelewa wa mambo yaliyo wazi tu.Aliyekwambia Simba ina thamani ya 20B ni nani? Wewe unajiona mjuaji kumbe bure kabisa,kwa kukusaidia 20B = 49% ya hisa za Simba. Siku nyingine ukae kwa kutulia kabla hujatuletea hapa ngonjera zako zisizo kuwa na mashiko,umesikia Utopolo?
 
Dah... Ila Simba kuna vilaza Sana, kwani mkishakua na uwanja wenu mtakua na ligi yenu pia pekeyenu bila TFF? Nyambaf
ndio nashindwa kuelewa na mimi

mechi za Simba zote zitachezwa uwanja wa Simba ?

a bunch of idiots, bidada kaja juzi tu washamwita MADAME VERY VERY IMPORTANT PEOPLE
 
Kama vile trump anavyotengeneza social media yake...

Ngoja tuone...
 
Alichojaribu kuleta huyu CEO ni ujuaji usio na maana, sasa upepo uliopo watu wanaamini kaonewa wanahusisha na GSM mara TFF kahongwa

Mtu mzima kuonyesha dharau kwa kutupa kadi haivumiliki, ajifunze kufuata utaratibu
 
Inasikitisha sana kumuona CEO analeta attitude za mama muuza wanzuki.
 
Hv hiz team zetu kubwa haziwezi kujenga viwanja hata kwa mkopo. Then deni likawa hata linalipwa kwa kukatwa asilimia flani kwenye mapato ya viingilio?
 
Kwa hiyo wauze tena hisa 51% ili wajenge uwanja?
 
Sasa hao AC Milan kutokuwa na uwanja ndio justification ya timu zetu pia kutokuwa na viwanja? Bangi haifai jaman hasa kwa wajawazito
Akikujibu nitag mkuu, ili nimuongezee homework za timu kubwa zisizo na viwanja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…