Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.
Nadhani watauanda team zao kadhaa....
1: Simba MO ukwaju sports club. .. 2: Simba MO viberiti sports Club .. 3: Simba MO Ngano sports Club... 4: Simba MO detergent soap.... 5: Simba MO Laundry soap Sports Club... 6: Simba MO Barba Sports Club...
Wataziumba umba mpaka ziwe team 20... Halafu watakua na shirikisho lao litaloitwa MO Tanzania Federation of ⚽⚽⚽...
Simba Haina uwezo wa kujenha uwanja wa kuingiza watu 30,000/=Thamani ya uwanja Kama uo haipungui Bilion 40 za kitanzania. Wakati thamani ya Klabu ni bilion 20.