ndo kwanza misuli imewasimama pole sana..🤣Washindwe na walegee!
Beki Taiza mkuu umelewa?? Ah ni umeelewa?Avatar na maelezo naona vinanichanganya eti!
Nakazia akae kwa kutulia kama mojaooohooo,
Kaa kwa kutulia kama moja ..
bado hajakutana na akina hadijandalarefu.
😂Mwaka wa kwanza anakusiliza.
Mwaka wa pili unamsikiliza.
Mwaka wa tatu hamsikilizani.
Miaka inayofuata majirani wanawasikiliza.