Uchaguzi 2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

Katibu Mkuu ameongea vizuri na kwa staha. Wagombea wanatakiwa kutekeleza majukumu yao barabara. Chama kimewaamini wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kukipigania.
Naamini wamemsikia na watafanyia kazi maelekezo haya.
 
Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi wewe ni kiongozi hondari sana katika kusimamia watu unao waongoza
 
Hiyo ni dalili kuwa hali ya Magufuli kisiasa ni mbaya. Hajiamini na haamini kama anaweza kuvuka oktoba kwa kura.
Bashiru inabidi ajikakamue.
Yani kuwakumbusha wagombea kukaa ktk misingi ni dalili mbaya? au ni ishara kuwa chama ndicho kina dhamana juu yako fikiria hilo
 
Nape naye kaambiwa arudi Lindi akaandae mkutano wa Kikwete kwani huko Ilemela alikokwenda hakuna aliyemtuma
 
Umefanya vyema kuwakumbisha hao wagombea juu ya misingi yetu imara ya chama cha mapinduzi
 
Kwa maoni yangu Hamisi Kigwangalla ana hujumu kampeni za CCM kwa kujua au kutokujua. Majibizano yake na Mo yameanzisha mijadala kwenye social network zote, baada ya watu kufuatilia ahadi zinazotolewa na mwenyekiti wake, badala yake watu wanafuatilia mabishano yake na Moo.

Anajua fika kuwa ukigusa Simba na Yanga nchi hii unawagusa wengi hivyo watu wameacha siasa wanamtetea Mo.

Hamisi ajue CCM inatumia gharama kubwa kwenye kampeni hizi hivyo kuyumbisha watu kwa namna yoyote ile ni kujitia hasara wenyewe pia ajue mitandao ya kijamii ni muhimu sana kipindi hiki kwani kuna wafuatiliaji wengi.

Hatujui kwa nini alete madai haya kipindi hiki cha kampeni.

Kukopa kuna kupata na kukosa, kama alikunyima kukukopesha achana nae.
 
Bashir acha kujipendekeza, ulianza vzr unakoelekea unakua msukule.
 
Bashiru asimfokee Kigwangala.

Ndiyo maana Chadema wanasisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo
yaani kuelezea na kukumbushia majukumu ndio kumfokea?
chama ni lazima siku zote kilelewe katika nidhamu na utii na hiyo ndiyo slogan ya chama ha mapinduzi.
h0ongera katbu mkuu kwa kuwakumbusha wanchama wako juu ya mienendo mizuri na utekelezaji wa wajibu na majukumu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…