Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

Wewe Acha uchawa wako , mambo gani mazuri ili hali ametumiwa na baba yake na waarabu wake kujimilikisha ardhi yenye madini huko Rukwa na Katavi. Huu ni ukoo wa mafisadi.
Hao waarabu atakilwa wamevuryga sana. Huyu mama Mungu anamuona
 
Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
Ni raisi gani aliwahi kumteua mtoto wake hapa TZ?
 
Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Mh htari aisee
 
Uyo ana akili za kimtaa, kimafia na kimkakati ila sio akili za darasani za kupata sijui maGPA au upper class au PhD yaani ni copy ya baba yake mpaka tabia huwezi ukamkuta analalamika
Umetumia lugha ya mafumbo wengi hawaelewi lugha za kutumia akili.

Kwa lugha rahisi una maana jamaa ni MAFIA.
 
Hivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Acha uongo basi rizwan kajoin udsm mwaka 2001 div 1 point 9 walikuwepo pale facult of law
 
Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
Hao walimu waliomfundisha Chuo Kikuu hawana shilingi( B)ilioni ishirini Benki. Usilete masihara na kutuambia Ridhiwani amesoma kwa bidii.
 
Acha uongo basi rizwan kajoin udsm mwaka 2001 div 1 point 9 walikuwepo pale facult of law
Kitendo Cha kusoma UDSM tu inatosha...UDSM ni chuo cha ndoto Kwa Kila mwanafunzi wa kitanzania
NB: kila anayemaliza form six hutamani kusoma udsm au muhas
 
Kitendo Cha kusoma UDSM tu inatosha...UDSM ni chuo cha ndoto Kwa Kila mwanafunzi wa kitanzania
NB: kila anayemaliza form six hutamani kusoma udsm au muhas
Acha kugeneralize Dunia imeshatoka huko Kuna watu wanasoma on-line course na Bado wanaweza kua na maarifa sana na wabobevu...MAMBO YA KUTAMBIANA VYUO NI YA KITOTO wengine tumesha Toka huko..... Povu ruksa😊😊🌝🌝🤓🤓
 
Na kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%
Kaitemdea haki kampuni yao ya lake oil, vituo vimejengwa kwa speed ya 5G, hata kwenye maeneo ya wazi wamejenga
 
Back
Top Bottom