Mtuturas
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 456
- 867
Mkuu ujue kila mtu ana akili zake uzuri tu sio chizi,Kwani kusema Dogo alikuwa hana Akili mnaogopa nini?
Tuseme tu class udsm jamaa alikuwa kilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ujue kila mtu ana akili zake uzuri tu sio chizi,Kwani kusema Dogo alikuwa hana Akili mnaogopa nini?
Hao waarabu atakilwa wamevuryga sana. Huyu mama Mungu anamuonaWewe Acha uchawa wako , mambo gani mazuri ili hali ametumiwa na baba yake na waarabu wake kujimilikisha ardhi yenye madini huko Rukwa na Katavi. Huu ni ukoo wa mafisadi.
Ni raisi gani aliwahi kumteua mtoto wake hapa TZ?Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
Amewahi kusimamia na kushinda kesi gani mkuu?Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
UDSM LAW SCHOOL unamaanisha Nini ?Ridhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Udsm siku hizi ina shule zamani kitivo...kama vile udsm school of education, school of law, school of arts and social science,etc.UDSM LAW SCHOOL unamaanisha Nini ?
Mnadanganyana huko vijiweni..
Kivipi yanakuwa mazuri?Ridhiwani angepewa uwaziri kamili kbsa anafaha mno Ni mchapakazi na Wala Hana nnjaa Kali kihvyo hata ardhi mamb yalianza kuwa mazuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mh htari aiseeRidhiwani ana akili sana ...sema tu watu wanamchukulia poa kutokana ma BABA yake...lakini kichwani Yuko vizuri na ni product ya UDSM LAW SCHOOL
Acha utoto basi..Ridhiwani angepewa uwaziri kamili kbsa anafaha mno Ni mchapakazi na Wala Hana nnjaa Kali kihvyo hata ardhi mamb yalianza kuwa mazuri
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umetumia lugha ya mafumbo wengi hawaelewi lugha za kutumia akili.Uyo ana akili za kimtaa, kimafia na kimkakati ila sio akili za darasani za kupata sijui maGPA au upper class au PhD yaani ni copy ya baba yake mpaka tabia huwezi ukamkuta analalamika
Kama hauko kwenye familia ya wenyewe tafuta nafasi kwenye chama kingine Kwa machozi ,jasho na damuDaa
Kweli ina wenyewe
Ongeza nyamaWewe Acha uchawa wako , mambo gani mazuri ili hali ametumiwa na baba yake na waarabu wake kujimilikisha ardhi yenye madini huko Rukwa na Katavi. Huu ni ukoo wa mafisadi.
Acha uongo basi rizwan kajoin udsm mwaka 2001 div 1 point 9 walikuwepo pale facult of lawHivi unajua ili usome UDSM Tena LAW halafu miaka hiyo ya nyuma unatakiwa uwe na div 1 mwisho point 4...sasa dogo kapita pale na GPA first class with honors..yupo vizuri sana upstairs
Hao walimu waliomfundisha Chuo Kikuu hawana shilingi( B)ilioni ishirini Benki. Usilete masihara na kutuambia Ridhiwani amesoma kwa bidii.Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
Kuna tofaut ya kua na akili na kua na GPA kubwa & vise versa is true..... jua kutofautisha......
Kitendo Cha kusoma UDSM tu inatosha...UDSM ni chuo cha ndoto Kwa Kila mwanafunzi wa kitanzaniaAcha uongo basi rizwan kajoin udsm mwaka 2001 div 1 point 9 walikuwepo pale facult of law
Acha kugeneralize Dunia imeshatoka huko Kuna watu wanasoma on-line course na Bado wanaweza kua na maarifa sana na wabobevu...MAMBO YA KUTAMBIANA VYUO NI YA KITOTO wengine tumesha Toka huko..... Povu ruksa😊😊🌝🌝🤓🤓Kitendo Cha kusoma UDSM tu inatosha...UDSM ni chuo cha ndoto Kwa Kila mwanafunzi wa kitanzania
NB: kila anayemaliza form six hutamani kusoma udsm au muhas
Kaitemdea haki kampuni yao ya lake oil, vituo vimejengwa kwa speed ya 5G, hata kwenye maeneo ya wazi wamejengaNa kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%