Baada ya DR Congo kuingia EAC, sasa changamkieni fursa kama ifuatavyo

WALE MAYIMAYI VIPI?/ PAMOJA NA YOTE TATIZO ;
SAFETY
SECURITY
 
Wabongo walivyokuwa slow, waoga
Wengi wana subiria ajira wavae tai maofisini
Nendeni mkajilipue huko

Ova
Kwa jinsi ulivyo slow na muoga, eti unassma nendeni badala ya twendeni. Au unajihisi uko juu sana. Acha ufala..
 
Unanikumbusha kampala Daaah!!murunjinyoo. Katika sehemu ambayo hata kesho niko tayri kwenda kampala ya ss nikama ya mzee wa ruksa pesa ipo sana.
Niko mbioni hati yangu inatoka mwisho w mwezi huu. Nasepa zangu.kunako majaliwa nitafika hata kongo. Sema chimbo langu sana ni JUBA kutokea kampala.
 
Aisee Mzee wa Kino usitaje tena Chingola. Umenigusa kwenye mfupa. Huo mji uko kwenye moyo wangu.
Nimekaa hapo chingola..

Nmekaa musenga

Kitwe nimekaa nkana East pia

Chingola pako kitofauti sana

Kimji kametulia,kuna uingereza fulani

Ova
 
Nimekaa hapo chingola..

Nmekaa musenga

Kitwe nimekaa nkana East pia

Chingola pako kitofauti sana

Kimji kametulia,kuna uingereza fulani

Ova
Chingola pasafi kinyama. Kuna kigogo mmoja wa hii serikali nilimwona anafanya kampeni za usafi nikamwambia atembelee Chingola apewe somo wamewezaje kuwa wasafi kiasi kile.
 
Safi sana aisee inapaswa upatiwe uwaziri wa vijana na ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…