Baada ya DR Congo kuingia EAC, sasa changamkieni fursa kama ifuatavyo

Hizo taaluma hazina issue congo coz wacongo hela wanaweka ndani na tiba wanatumia sana mitishamba
 
Hapa udanganya bana nipo congo mwaka wa kumi sasa natembea sehemu tofauti congo kinacholipa ni biashara hasa ya vyakula magodoro lkn sio hizo kazi za afya kwanza wengi wao wanatumia mitishamba kujitibu
 
Usalama upoje haswa upande kaskazini km jimbo la Kivu kule Goma hadi Beni?
 
We jamaa bado upo Congo ?
Vipi kuhusu hali yà ushuru na rushwa ? maana Congo biashara ni ngumu sana kwa wageni sababu hiyo askari rushwa sana na kuna msululu wa kodi si wa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…