Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Hapana bwana Daudi Bashite siwezi kumsahau.
Mpaka sasa kasha ufanya u RC wake mgumu, labda aje atu prove wrong.
Ila kama si ukabila alikuwa asha nyofoka yule
Mkuu umesahau haya matukio

1)Faru John

2)Ben saa nane

3)Tukio la mkuu wa nchi kutakiwa kuonesha salary slip zake

Yani hapa utashangaa unapangwa mpango kabambe ambapo watu wote tutakuwa tuna concentrate huko mpaka hicho kitu kinafika tamati suala la bwana bashite tutakuwa tumelisahau

Au bwana yule unaweza ukakuta tu labda ana muamisha wizara au akafanya figisu yoyote akamtoa waziri yoyote akampachika bwana bashite
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pooor us!!!

Na wabongo tunavo tembeagana upepo kutupoteza ni rais sana
 
unazani uyo siro atafanyaje kama mwenye nchi mwenyew kanyamaza alaf siro ndo ajitie kimbelembe

ata mimi ndo ningekuwa yeye ndo kwanza ningeagiza kiroba changu nijifie taratibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pooor us!!!

Na wabongo tunavo tembeagana upepo kutupoteza ni rais sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tena ashukuru serikali ya wakati huu imeminya uhuru wa habari na kwa sababu hiyo watu wengi wanasema mambo chinichini ila bila hivyo.................
 
This government is hopeless bro
Ujue imefika stage wabongo wakiwaona viongozi wao wanaishia kucheka tu na kuacha kama walivo
 
And the thing is, viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wanachi, chambilecho Le Mutuz.
Siamini hilo, mchakato wa ku wapata viongozi wetu ha u reflect mara nyingi matakwa ya wananchi wengi.
Tuna wrong proccess obvious, lazoma tuwe na wrong results.

Viongozi wana reflect sehemu ndogo sana ya jamii zetu
 
Mimi naamini kabisa kuwa viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe.

Kama tuna mchakato mbovu wa kuwapata kwa nini sasa hatuurekebishi?

CCM tayari ni wabovu. Hilo tunalijua fika na halina mjadala kwa mujibu wangu.

Sasa hebu angalia na huko kwenye wapinzani. Na ni vurugu mechi bin shaghalabaghala tu.

Mtu ungedhani basi labda na wao kwa kujifunza toka kwenye makosa ya CCM kwamba labda wangekuwa tofauti na hivo kuleta matumaini lakini wapi.

Hivi tu hawana madaraka na hali ipo jinsi ilivo.

Piga picha wakipata madaraka itakuwaje....

Hapana aisee...viongozi wetu wanaakisi kabisa aina ya watu wanaowaongoza.

I wholeheartedly believe that, pointblack period, dotcom!!!!!
 
Kwa sababu kwa nchi yetu hujui yupi ni mpinzani kweli yupi ni mpinzani troll.
Ila nadhani asilimia 70 ya wapinzani ni wana CCM wazuri tuu, ukitaka nikutajie cream ya 30% ilo bakia nzuri ipo kabsa.
Ila wrong path cannot lead us to right direction
 
Hahahaaa...right now I can bet you dollars to doughnuts if Magufuli decided to join CHADEMA they will roll out the red carpet for him.

Ditto for Makonda and any other CCM grand-poobah.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya sakata la Mwigulu na lile la David Bashite. Mwigulu (kwa maelezo yaliyotolewa) alirudia darasa na kutumia jina la mtu mwingine wakati akirudia. Utaratibu kama huo huko nyuma ulikuwepo sana; yaani watu walikuwa wanafeli halafu wanaenda kurudia kwenye shule nyingine. Kuna taarifa Profesa Muhongo alirudia mara saba kabla ya kufaulu! Kujaribu kuleta issue za akina Madelu hapa ni kumpa faraja ya muda tu Bashite!

Tuhuma zinazomkabili Bashite ni kwamba alifeli kidato cha nne (alipata ziro), akachukua (kununua?) vyeti vya mtu mwingine ndio akaingilia katika chuo cha uvuvi Mwanza na kuendelea hadi kuwa bosi wa chipukizi ya chama chetu, DC Kinondoni na sasa RC Dar es Salaam! Mkuu hapa kuna kesi ya jinai ambayo mtu akipatikana na hatia, na mahakama ikafanya kazi kama JPM anavyotaka zifanye, Bashite anakula mvua saba mapema tu. Yaani kiuhalisia wakati wewe unaleta andiko lako hapa Bashite alitakiwa awe anamalizia kuandika maelezo polisi tayari kwa kufikishwa kortini kujibu jinai nyingi ambazo ziko ndani ya sakata hilo!
Una uthibitisho? Tuhuma hubaki tuhuma hadi zithibitishwe.
 
Mwigulu alishaeza hapa kwamba yeye alirudia shule ndo akapewa jina la mtu aliyeacha shule akafanyia mtihani na akafaulu. Tofauti na huyu Bashite anayedaiwa kufeli kisha kanunua cheti cha mtu aliyefaulu mtihani huo ulomshinda kaifanya yake. Kagushi cheti. Kugushi cheti cha mtu ni kosa la jinai. Kuhusu Kigwangala sina maelezo ya kina.
"...anayedaiwa..." Thibitisha madai hayo kwanza.
 
Mwigulu hakufeli bali aliacha shule kwenda kuchunga mbuzi, kisha akarudi shule kwa jina hilo, alisoma yeye mwenyewe, akafaulu, akasoma shule ya vipaji Ilboru, akatoka na Div one kali, akaenda chuo kikuu akatoka na 1st Class akaajiriwa BOT.

Daudi Albert Bashite alisoma kijijini akafeli, akaenda kurudia mjini, akafeli, akapiga dili kuchukua nafasi ya mtu aliyepasi hivyo akasoma shule ya serikali kwa jina jingine, akapata Div 0. Ndipo mrembo Christina akampa cheti cha kaka yake Paul Christian alichowasilisha kusomea chuo.

Makonda amefoji jina na kufoji cheti, Mwigulu amesomea jina la mtu mwingine.
Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Paskali
Mnaonekana kama mna uthibitisho lakini hamchukui hatua stahili. Je itakuwa kosa sie tunaojua kusoma "between the lines" kuhusisha ishu ya elimu ya Makonda na kuwaamuru "vidagaa wa UNGA" waripoti polisi? Why now?
 
Ni lini mbowe amefoji vyeti ? Anzia hapo
Mkuu umenifurahisha sana, watu wanachanganya mada....Hatuzungumii elimu swala ni kufoji...hata wale walio tumbuliwa serikalini ilikuwa ni kwa sababu ya kufoji...
 
Mkuu waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe na hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumkagua vyeti na anayempa jeuri ni bwana yule

Yani hapa zinatafutwa skendo zozote juu chini ili upepo wa swala hili upite kama walivyofanya kwenye matokeo mabovu ya kidato cha nne kuwasaulisha watu na hivi wabongo tulivyokuwa rahisi kusahau tukasahau kweli na nguvu zetu zote tukaamishia kwenye suala la wema kwenda chadema

Duh

kabisa unaandika uongo na kujifurahia
 
Kiukweli RC kimemponza madawa mpaka watu wanamuandama ivo ila asingejiusisha kisingeskika kitu

Na watanzania wanafata upepo
Lakini mpaka sasa hajakamata hao ma drug dealers maana kawaida kesi ya madawa haina dhamana kakamata mateja wavuta bangi ambao kila siku wanakamatwa na maaskari wa kawaida
 
Haki itendeke kama kwa watumishi wengine walio hakikiwa na kujulikana wanatumia vyeti vya watu wengine wakadhibiwa.kwa nini na yeye asiadhibiwe?
 
Hivi upuzi puzi kama huu, utawasaidia upinzani kuchukuwa dola? I wonder...
 
Back
Top Bottom