GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Niwajuavyo Wahindi wamebobea na kutukuka mno kwa Ndumbaism. Hili sakata sasa naliona linavyoenda kupotelea Bombay kutoka Dar es Salaam.
Swala ni kwamba serikal imesitisha Ajira kwa sabab ya ukaguz wa wafanyakaz hewa na vyeti feki.. Na waajiriwa wengi tu wa serikali wameachishwa kaz kwa sabab ya vyet feki.. Sasa na huyu Bashite achunguzwe kama vyeti vyake ni feki na yeye apigwe chini ndo shida yetu!.. Wizara ya Ajira inatakiwa iwe fair sio vyeti wakaguliwe wanyonge tu!Mkuu sisi watz ni watu wa Maneno siku zote kila siku mnataka vyeti vya Makonda vyenu mbona hamuweki tuvione..
Na hata akiwaonesha nyie itawasaidia nn kwann msifatilie vyeti vya watoto wenu bongo kweli badala mfanye kazi mnabaki kumfatilia mtu daaah Tanzania nchi yangu ila basi tu...
Limeanza kupoa na commander in chief hajasema lolote mkuu.Niwajuavyo Wahindi wamebobea na kutukuka mno kwa Ndumbaism. Hili sakata sasa naliona linavyoenda kupotelea Bombay kutoka Dar es Salaam.
Hahahaaa la kuku eeeh, basi sawa. Ngoja tusubiri tuone but as far as I know dua la mnyonge haliendi joshi.
Mkuu nadhani hizi post hua hazifutiki humu, baada ya miaka kadhaa tukijaaliwa uzima utakuja kusoma Uzi huu sikutishi Ila huwa yanatokea kweli.Huna dua lolote kwangu. Kwa akili hizo za kuiga kwa mtu mwenye tabia za machinjioni? Dua lako peleka Ikulu nawe uchaguliwe u RC
Ha ha ha ha mtasema yote mwaka huuPicha ya zamani hiyo, alikuwepo kwa mengine hapo.
Waache wajifurahishe! Sisi tuchape kazi!Picha ya zamani hiyo, alikuwepo kwa mengine hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haka kajamaa baadaye kaenda kwa mganga kutusahaulusha hili tukio
Kitendo cha kamanda SIRO Kumuacha Makonda akitamalaki na vyeti Feki hapa Dasalaam inaonyesha kiongozi wa kanda Maalum anapwaya.
Makonda aliwahi kuhoji utendajikazi wa kamanda Siro kuwa haukizi viwango. nimeanza kuamini,kelele zetu zote hizi na inteligensia zake ameshindwa kufungua jarada la uchunguzi dhidi ya Daudi Bashite! only in Tanzania.
forgery is a criminal offence in the eyes of the law Kamanda Siro!
Mtu kaota ndoto tu yupo ndani mwezi wa nne, ila mtu kafoji vyeti,kaitwa bungeni kakataa, kaitwa mahakamani kakataa, kadhalilisha watu na kuwachafua hadharani kaachwa, ina maana hizi sheria kwa upande mmoja tu?hebu nambie kifungu gn cha sheria kinachompa madaraka mkuu wa mkoa kutaja majina ya wauza unga hadharani bila ya kuwa na ushahidi.Ziko jinai za aina mbili, public offences na private offences. Public offense ni makosa ya uvunjifu wa sheria za public laws kama mikosanyiko, maandamano, uharibifu wa malí ya umma or makosa yoyote against the public.
Personal/private crimes ni makosa ya jinai yanayofanywa na individual dhidi ya individual or individual ndidi ya entities be it public or private.
Kosa la theft, forgery, fraud, bodily injuries, sexual offences other than incest or sodomy, hata rape, beating, Polisi haiwezi kuinitiate uchunguzi hadi mtu au taasisi ipeleke malalamiko kufungua RB. Hakuna mtu yoyote au taasisi yoyote iliyopeleka malalamiko yoyote kuitisha uchunguzi. Waliochunguza ni wale "jamaa zetu" tuu. Hivyo hakuna lalamiko lolote dhidi ya Mkuu wetu wa mkoa Mhe. Sana Daudi Albert Bashite AKA Paul Makonda.
Hata kama unaishi jirani na Kamanda Siro na akashuhudia mke anapokea kisago, mke huyo asipolia kuomba msaada, Siro haji kuingilia.
Au mtu akiibiwa na mwizi akakatwa red-handed Siro hawezi kunfungulia mashitaka kama wewe hujakwenda kulalamika.
Paskali
Hapana bwana Daudi Bashite siwezi kumsahau.Mkuu waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe na hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumkagua vyeti na anayempa jeuri ni bwana yule
Yani hapa zinatafutwa skendo zozote juu chini ili upepo wa swala hili upite kama walivyofanya kwenye matokeo mabovu ya kidato cha nne kuwasaulisha watu na hivi wabongo tulivyokuwa rahisi kusahau tukasahau kweli na nguvu zetu zote tukaamishia kwenye suala la wema kwenda chadema
Si tu kuwa Kamanda Siro ameshindwa kumkamata huyo kihiyo, bali ni kuwa pia kaingizwa mkenge na huyo form four failier kwa kuwa kamata watu hovyo hovyo na kuwafungulia kesi kinyume cha taratibu, kwa hiyo nayeye kacheza maigizo yake.Kitendo cha kamanda SIRO Kumuacha Makonda akitamalaki na vyeti Feki hapa Dasalaam inaonyesha kiongozi wa kanda Maalum anapwaya.
Makonda aliwahi kuhoji utendajikazi wa kamanda Siro kuwa haukizi viwango. nimeanza kuamini,kelele zetu zote hizi na inteligensia zake ameshindwa kufungua jarada la uchunguzi dhidi ya Daudi Bashite! only in Tanzania.
forgery is a criminal offence in the eyes of the law Kamanda Siro!