Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Ukiachana na "kutumbuliwa" hivi kama.tatizo si cheti tatizo wanachoangalia ni utendaji wa kazi.

Why wanahakiki vyeti!!!?

kwanini wasihakiki utendaji wa kazi vyeti waachane navyo!!?

au uhakiki wa vyeti umekaa kitabaka zaidi kwamba tabaka la chini ndio linahusika haswa na uhakiki huu!!!?
 
Ubashite ni Tatizo kubwa Tanzania.

ukilipekenyuwa Jeshi la Polis, Jesh la Wananch, TISS na Waalimu.....Huko ndiko Ubashite ulipo ota mizizi.

Sasa kama Ben Saanana Alikuwa anataka kutuletea Bashite Flan hivi akatoweshwa Uraian na ajulikan alipo......ni vizuri mijadala ya bashite izimwe tu na serikali ipotezee kabisa mambo ya uwakiki wa vyeti na ubabishite.
 
Kisheria aliyetumia jina la mtu mwingine toka s/m na akafanya mtihani yeye na kupata cheti cha sm yeye mwenyewe hana hatia ya kufoji vyeti lakini mtu aliyechukua cheti cha mtu mwingine yaani yeye hakufanya mtihani bali alichukua cheti cha mtu na kujifanya ni yeye, ana hatia ya kugushi elimu na cheti na adhabu yake kama ushahidi upo ni miaka saba jela
 
Kama ikibainika kua vyeti vyake ni tatizo na akatumbuliwa.Pasina shaka atatakiwa kustakiwa kwa mujibu wa sheria za nchi kwa kuliingiza taifa hasara.

Lakini kuna mawaziri tunao humu nchini historia zao zinaonesha kua majina waliokua wakiyatumua tangu wakiwa shule ya msingi ni tofauti na majina wanayoyatimia hivi sasa, inaonekana kua kuna ujanja ujanja mwingi ulifanyika kulingana na nafasi walizokua nazo wazazi wao serikalini au ukaribu wao na watumishi wa serikali wasiokua waaminifu.

Hakuna mahali sheria inasema mtu akitumia jina la mtu mwingine kwenda kusoma aachwe, hakuna utaratibu huo!Kwani mtu aliyetumia jina la mtu kutoka shule ya msingi kwenda sekondari kuna tofauti gani na aliyetumia cheti cha mtu kutoka sekondari kwenda chuo? Ni kifungu gani ndani ya sheria kinatofautisha makosa haya?Hapa kuna tatizo tu hatukubali, kama ni uozo huu upo sehemu nyingi watu wawajibishwe kwa mujibu wa sheria.

Kuna mawaziri walituhumiwa sana kutumia majina ya watu kutoka shule ya msingi kwenda sekondari, baadaye walikuja kukanusha kiujanja ujanja tu! Hivi wakifanyiwa followup kama ulivyo kwa RC Makonda mangapi yataibuka? Kwanini uozo huu tuendelee kuulea? Inamaana tuonao maofisa waandamizi wakubwa wa serikali mpaka sasa wanakalia nafasi kiujanja ujanja tu hawakutia vyeti vyao.

Hata kama hukufaulu shuleni lakini ukatumia njia za udanganyifu kuendelea na masomo halafu ukafaulu hata kufikia level ya kua Professor bado wewe ni mhalifu Mkubwa kama mhalifu wengine ambaye unatakiwa kuadhibiwa kwa majibu wa sheria.

Akitumbuliwa Makonda kwa kosa hilo halafu wengine wakaachwa, tutapiga kelele tu! Nje na hapo bado tutaamini kua kufuatiliwa sana kwa Makonda juu ya historia ya shule yake kuna link kubwa na mapambano yake dhidi ya Madawa ya kulevya ingawa alitumia utaratibu wa kienyeji sana.

Wote wafuatiliwe historia zao za shule kutoka shule za msingi mpaka vyuo kikuu, sheria ifanye kazi kwa wote isiwe kwa kumuonea Makonda tu na watanzania wengine walioachishwa kazi kwa matatizo hayo.
Kijana huyu nibrafiki yangu kipenzi NIkas makoye nilisoma nae songea boys miaka hiyo.tulimaliza nae shule 1999.f4akiwa timamu na bright. Lkn hivi karibuni nimekutana nae maeneo ya MK kinondoni.very sad.madawa ya kulevya yamemfikisha hapa.lkn Luna waliopata utajiri Wa kila aina kwa kumuharibu kijana huyu.

Haijalishi vita hiii inapiganawaje ??!haijakishi babako,kakayako,mamayako na ndugu na jamaaa zako unaowapenda wanauza unga Wa kuharibu vijana hawa je ungefurahi ndugu yako kua hivi?????????????

*VITA HIII LAZIMA IENDELEEE KWA AINA ZOTE ZA SILAHA TUSIWASHUPALIE WAPIGANAJI KWAKUA TU WAMEZIDISHA MAKONDE AU MANGUMI MAKONDE MAZITO YANAWAPAPASA WASIOUZA LA HASHA MAPAMBANO YAENDELEEE KUTOKUPAKA PODA KWA MPIGANAJI MAHILI VUMBI LA VITANI LAWEZA KUWA BORA KULIKO PODA ALIYOIACHA VITA IENDELEE NA SOTE TUSHIRIKI TUNATAKA KUTOKOMEZA UNGA HATUTAKI VYETI*
 
Kwani Makonda ataonewa??.Anyways Makonda hatatumbuliwa, watatumbuliwa kabila zingine lkn Msukuma yeyote ktk hilo zoezi atakuwa wa mwisho kutumbuliwa na ni baada tu ya shinikizo kubwa.This is a SUKUMA time.
Ni kweli kwa sababu magufuli anataka kumteua gavana wa BOT msukuma anataka wasukuma wakalie sehemu nyeti zote, yaani ukabila umerejea kwa kasi kubwa.
 
Kama ikibainika kua vyeti vyake ni tatizo na akatumbuliwa.Pasina shaka atatakiwa kustakiwa kwa mujibu wa sheria za nchi kwa kuliingiza taifa hasara.

Lakini kuna mawaziri tunao humu nchini historia zao zinaonesha kua majina waliokua wakiyatumua tangu wakiwa shule ya msingi ni tofauti na majina wanayoyatimia hivi sasa, inaonekana kua kuna ujanja ujanja mwingi ulifanyika kulingana na nafasi walizokua nazo wazazi wao serikalini au ukaribu wao na watumishi wa serikali wasiokua waaminifu.

Hakuna mahali sheria inasema mtu akitumia jina la mtu mwingine kwenda kusoma aachwe, hakuna utaratibu huo!Kwani mtu aliyetumia jina la mtu kutoka shule ya msingi kwenda sekondari kuna tofauti gani na aliyetumia cheti cha mtu kutoka sekondari kwenda chuo? Ni kifungu gani ndani ya sheria kinatofautisha makosa haya?Hapa kuna tatizo tu hatukubali, kama ni uozo huu upo sehemu nyingi watu wawajibishwe kwa mujibu wa sheria.

Kuna mawaziri walituhumiwa sana kutumia majina ya watu kutoka shule ya msingi kwenda sekondari, baadaye walikuja kukanusha kiujanja ujanja tu! Hivi wakifanyiwa followup kama ulivyo kwa RC Makonda mangapi yataibuka? Kwanini uozo huu tuendelee kuulea? Inamaana tuonao maofisa waandamizi wakubwa wa serikali mpaka sasa wanakalia nafasi kiujanja ujanja tu hawakutia vyeti vyao.

Hata kama hukufaulu shuleni lakini ukatumia njia za udanganyifu kuendelea na masomo halafu ukafaulu hata kufikia level ya kua Professor bado wewe ni mhalifu Mkubwa kama mhalifu wengine ambaye unatakiwa kuadhibiwa kwa majibu wa sheria.

Akitumbuliwa Makonda kwa kosa hilo halafu wengine wakaachwa, tutapiga kelele tu! Nje na hapo bado tutaamini kua kufuatiliwa sana kwa Makonda juu ya historia ya shule yake kuna link kubwa na mapambano yake dhidi ya Madawa ya kulevya ingawa alitumia utaratibu wa kienyeji sana.

Wote wafuatiliwe historia zao za shule kutoka shule za msingi mpaka vyuo kikuu, sheria ifanye kazi kwa wote isiwe kwa kumuonea Makonda tu na watanzania wengine walioachishwa kazi kwa matatizo hayo.

lakini KUBENYEA na MBOWE wote wana MAGUMASHI KWENYE elimu yao na hadi kwenye profile ya bunge wanajua , makonda anawezakuww ana makandokando yake , nguvu ya mwanahalisi na TANZANIA DAIMA inayotumiwa dhida ya makonda inatakiwa iwe hivyo hivyo pindi swala la MBOWE litakabyoanza kushadadiwa
 
Kisheria aliyetumia jina la mtu mwingine toka s/m na akafanya mtihani yeye na kupata cheti cha sm yeye mwenyewe hana hatia ya kufoji vyeti lakini mtu aliyechukua cheti cha mtu mwingine yaani yeye hakufanya mtihani bali alichukua cheti cha mtu na kujifanya ni yeye, ana hatia ya kugushi elimu na cheti na adhabu yake kama ushahidi upo ni miaka saba jela
Kwa makonda hata ukienda na ushahidi kontena nzima hupati haki kwani majaji, hakimu atatoa maamuzi ya mfukoni kumpendelea makonda, usithubutu kupeleka kesi ya makonda kwa mahakama za Tanzania lazima ushindwe tu, ukitaka upate haki mpeleke kwenye mahakama za kimataifa
 
Daudi umekosa mkoa utakosa na mke..rudi bana
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-11-10-05-28.png
    Screenshot_2017-03-11-10-05-28.png
    278 KB · Views: 52
lakini KUBENYEA na MBOWE wote wana MAGUMASHI KWENYE elimu yao na hadi kwenye profile ya bunge wanajua , makonda anawezakuww ana makandokando yake , nguvu ya mwanahalisi na TANZANIA DAIMA inayotumiwa dhida ya makonda inatakiwa iwe hivyo hivyo pindi swala la MBOWE litakabyoanza kushadadiwa
Tofauti ya matokeo ya mitihani ni tofauti na kutumia jina bandia na kumiliki vyeti Feki, mfano wako hauendani na vyeti vya boss wako Daud Albert, kumbuka yy kafoji vyeti ambalo ni kosa la jinai, sasa elizea mbowe na kubenea wanatumia majina feki? Vyeti feki? kama ni matokeo ya darasani nenda kacheki matokeo ya form 4 ya Nape kisha kacheki matokeo ya form six ya January makamba, lakini kwa kuwa majina ni yao hakuna anahangaika nao, tatizo kwa sasa si matokeo bali ni majina bandia vyeti feki.
 
Daudi umekosa mkoa utakosa na mke..rudi bana
Mke mwenyewe amemkasirisha baada ya kuwa anatumia jina la Daud kwenye kurasa zake kwenye mitandao, hawala wa masogange anamwinda kwa hamu amege alipe kisasi baada ya Daud kula Demu wake mpaka akampangishia makongo.
 
Tofauti ya matokeo ya mitihani ni tofauti na kutumia jina bandia na kumiliki vyeti Feki, mfano wako hauendani na vyeti vya boss wako Daud Albert, kumbuka yy kafoji vyeti ambalo ni kosa la jinai, sasa elizea mbowe na kubenea wanatumia majina feki? Vyeti feki? kama ni matokeo ya darasani nenda kacheki matokeo ya form 4 ya Nape kisha kacheki matokeo ya form six ya January makamba, lakini kwa kuwa majina ni yao hakuna anahangaika nao, tatizo kwa sasa si matokeo bali ni majina bandia vyeti feki.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Back
Top Bottom