chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Inshu ya vyetu sihitaji kujua me nampongeza kwa kazi nzuri anayoifanya
Mkuu hivi unaweza kuhitaji 'prove' ya vyeti na si utendaji wake ili kuthibitisha kwamba Bashite ana tatizo kichwani (kielimu)?Can yu proove tht amefoji cheti?. Tatizo hii nchi inavilaza wanaoamin maneno yatokayo mdomon tu kisa yameifavour itikadi anayoiamini. Ndio maana kuna watu wanaitwa nyumbu.
Swala n mtoa kashfa kuproove tu. Mm syo CCM angalia hata comments zang nyingi. Tatizo hv n visas so haituhusuHivi nyie mafisiem mbona hamchoki? Mimi ningekuwa Bashite ningejitokeza fasta, to cheti watu wanyamaze. Kwa akili yenu Makonda kufoji cheti siyo issue, lakini akifoji mwingine ni issue. Huo ni ulimbukeni. Mimi ni mtanzania ninayeishi kwa jasho langu halali. Nimeshawahi kufuatwa na watu tangu nasoma kuwa ukitaka mambo yako yanyooke baki CCM, kumbe ndo hayo. Nashukuru sikuwa na akili zenu hizo za samaki
AlMkuu hivi unaweza kuhitaji 'prove' ya vyeti na si utendaji wake ili kuthibitisha kwamba Bashite ana tatizo kichwani (kielimu)?
Just a proof syo blablaaa.Hivi nyie mafisiem mbona hamchoki? Mimi ningekuwa Bashite ningejitokeza fasta, to cheti watu wanyamaze. Kwa akili yenu Makonda kufoji cheti siyo issue, lakini akifoji mwingine ni issue. Huo ni ulimbukeni. Mimi ni mtanzania ninayeishi kwa jasho langu halali. Nimeshawahi kufuatwa na watu tangu nasoma kuwa ukitaka mambo yako yanyooke baki CCM, kumbe ndo hayo. Nashukuru sikuwa na akili zenu hizo za samaki
Alafu nawewe eti mwaandishi wa habari aliyetukuka...aiseeHakuna cha kurudi kusoma popote. Polisi haiwezi kuinitiate uchunguzi vyeti vya Makonda yenyewe tuu bila yoyote kwenda kumshitaki.
Hata makosa yote ya mtandaoni hata Sirro akisoma Paskali Mayalla kamtukana matusi ya nguoni ambayo hayaandikiki rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli, yeye Siro au polisi yoyote hawezi kuamua kuja kunikamata na kunifungulia mashitaka bila mamlaka husika kuinitiate.
Hata Siro akikuta live unabakwa, atakacho fanya ni kuzuia tuu ubakaji usiendelee na kumtia nguvuni mbakaji wako, lakini kama wewe unabakwa hautakwenda kituoni kulalamikia kubakwa, baada ya saa 24, mbakaji wako ataachiwa huru na hakuna kesi yoyote japo kamanda Siro mwenyewe alishuhudia kwa sababu kubaka sio public crime ni private personal crime.
Paskali
Kaniombee kwa mteuzi maana mimi siwezi "kumvalisha mtu viatu"!Kawe mkuu wa mkoa ww bas kama kichwa kipo vizur. Jaribu hata kunusa position aliyokaa kama una kichwa kizur. Anaweza ndio maana yupo pale.
Achana na propaganda.
Al
Nikakumbee ? Utanipa nn? Fight kama yy alivyofight mpaka alipofika.Kaniombee kwa mteuzi maana mimi siwezi "kumvalisha mtu viatu"!
Hivi Daudi Albert Bashite Paul Christian Makonda ameisha rudi Dar?Sasa watu wamekaa kimya,unaanza kuwatibua na mawazo yako potofu,,,,,,tulia bana