Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Yote hayo wameacha kuyaangalia wamekazana na cheti
ivi wale waliofukuzwa dom si waliitwa vi....kwan na yeye aliefel si k..huez tetea huu upuuz kama zako ni timamu.muosha huoshwa.mkuki uwe kwa ngurue tu sio?unaponyoosha kidole kwa mmoja vinne kwako.kumbuka kutoa borit kwako ndo uone kibanzi kwa mwenzio
 
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu anayeghushi au kutumia vyeti visivyokua vyake? Ni sheria tu hapo inatakiwa kufanya kazi hayo mengine mnayajua ninyi.. na wala ukaguzi wa vyeti kwa watumishi wa uma haukuanzishwa na sisi, serikali yenyewe ndio ilianzisha.. sasa iweje sheria na taratibu zibague?
Tatizo mlishaamini kwamba Makonda ana vyeti feki wakati hata ushahidi haupo, kuna watu wanajitahidi kutufanya tuamini hili jambo kama kipindi kile cha lowassa tulikuja kugundua kwamba tumetumika kisiasa kumuita lowassa fisadi, ndio maana sitaki kabisa kumtuhumu Makonda tena naweka akiba ya maneno kwa umakini mkubwa.

Sheria inasema hilo ni kosa la jinai sasa nani anaweza kuweka ushahidi juu ya hilo?
Mi nakua Tomaso sitaki kuamini kwa maneno ya kuambiwa nataka kuona ushahidi kamili, kuna watu wameweka screenshot ya matokeo ya Bashite humu lakini sasa tutaaminije kama kweli hayo matokeo ya Bashite ndio matokeo ya Paul Makonda wa leo??

Siasa ngumu sana jamani wekeni akiba ya maneno, leo hii nenda ukaseme Lowassa ni fisadi basi[emoji23] [emoji23]
 
lukesam pole sana Ndugu yangu, kelele kuhusu elimu ya Mbowe zilishapigwa sana humu, wengi waliishia kutukanwa kuwa elimu si kitu, ila ndio hao hao wanaomtukana sana Makonda, hapo ndio utaona nguvu ya unyumbxxx.
Huyu anajina jingine la Bashite! Mbowe anajina gani? Afu kuita watumishi wake 200+ ni vilaza Wakati yeye pia yumo humo ajitokeze bn ili atolee ufafanuzi swala hilo.
 
Hata mimi siwezi kuamini kama kweli amefoji lakini kuna mtu ambaye wanatoka naye kijiji kimoja kasema hivyo! simple tu atowe vyeti watu waone kama alivyofanya Mwigulu Nchemba. Over
Watu kusema sio tatizo.

Nayeye akikataa kutoa vyeti itakuaje? Kuna sheria inasema mtu aweke vyeti vyake hadharani?

Najua kuna mamlaka zilitakiwa kulifuatilia hili lakin ziko kimya hadi leo ndio maana nasema hii siasa ni ngumu jamani msiseme Paul Makonda kafoji vyeti mpaka pale ushahidi utakapopatikana yaani msimhukumu kabla ya ushahidi kupatikana
Tena wekeni akiba ya maneno[emoji23]
 
Tatizo mlishaamini kwamba Makonda ana vyeti feki wakati hata ushahidi haupo, kuna watu wanajitahidi kutufanya tuamini hili jambo kama kipindi kile cha lowassa tulikuja kugundua kwamba tumetumika kisiasa kumuita lowassa fisadi, ndio maana sitaki kabisa kumtuhumu Makonda tena naweka akiba ya maneno kwa umakini mkubwa.

Sheria inasema hilo ni kosa la jinai sasa nani anaweza kuweka ushahidi juu ya hilo?
Mi nakua Tomaso sitaki kuamini kwa maneno ya kuambiwa nataka kuona ushahidi kamili, kuna watu wameweka screenshot ya matokeo ya Bashite humu lakini sasa tutaaminije kama kweli hayo matokeo ya Bashite ndio matokeo ya Paul Makonda wa leo??

Siasa ngumu sana jamani wekeni akiba ya maneno, leo hii nenda ukaseme Lowassa ni fisadi basi[emoji23] [emoji23]
Suala la Lowassa na Cheti ni tofauti sana mkuu.. hili la Bashite vs Paulo linahitaji kutuwekea vyeti tu hadharani kukata mzizi wa fitna
 
Suala la Lowassa na Cheti ni tofauti sana mkuu.. hili la Bashite vs Paulo linahitaji kutuwekea vyeti tu hadharani kukata mzizi wa fitna
Zote ni tuhuma utofauti ni aina ya tuhuma tu lakini zote ni tuhuma mkuu.

Sitaki kutumika kisiasa tena kama enzi za Lowassa
 
Kilaga Mbowe alifeli form four akatumia njia za panya akaingia A level na penyewe akazungusha ZERO tena. Je tangu lini mtu aliyefeli form 4 akaruhusiwa kuingia A level ? Mwambie Mbowe atoe matokeo yake ya form 4 na form 6.
Hata mimi nashangaa, inaonekana unampakazia. Huoni akina Daud walipofeli hawakuwa na namna wakanunua cheti. Ujue haiwezekani, bora uwe kama Mbowe feri, rudia mtihani then songa mbele.
Kuendelea mbele ukiwa umefeli haiwezekani labda ukane jina lako, ununue cheti then uendelee mbele kama Daud
 
Zote ni tuhuma utofauti ni aina ya tuhuma tu lakini zote ni tuhuma mkuu.

Sitaki kutumika kisiasa tena kama enzi za Lowassa
Lowassa hakua na jinsi ya kujitetea ila Bashite ana jinsi.. vyeti viwekwe barazani tu simple
 
Acha kuongea kama vile umetoka msalani bila kuchamba. Hatumtuhumu mtu kwa sababu alifeli. Mbowe, Ole sendeka, Lusinde, na wengineo ambao wako kwenye siasa na hawana elimu ya kutosha hao tunawajua. Na hawajafoji vyet vyao lakini kisiasa bado wamefanikiwa. Kinachoshughulikiwa hapa ni kufoji au kughushi cheti. Hili suala kisheria ni kosa na mhusika anatakiwa aende jela, haina mjadala. Acha kujitoa ufahamu, kana kwamba una akili za samaki
SIPIYU30 nadhani kwa yoyote aliyesoma ameelewa, ni vyema ukapima uwezo wako wa uelewa. Hakuna form 4 failure anayeruhusiwa kuingia A level, kuingia A level huku form 4 una ZERO hapo ujue kuna ujanja ujanja tu. Kama kwako wewe msomi hii ya Mbowe ni sawa kila la kheri na usomi wako.
 
Hata mimi nashangaa, inaonekana unampakazia. Huoni akina Daud walipofeli hawakuwa na namna wakanunua cheti. Ujue haiwezekani, bora uwe kama Mbowe feri, rudia mtihani then songa mbele.
Kuendelea mbele ukiwa umefeli haiwezekani labda ukane jina lako, ununue cheti then uendelee mbele kama Daud
Nani kakuambia Mbowe alirudia baada ya kuzungusha form 4 ? Alirudia shule gani ? Mwambie atoe matokeo yake aliyorudia.
 
Nani kakuambia Mbowe alirudia baada ya kuzungusha form 4 ? Alirudia shule gani ? Mwambie atoe matokeo yake aliyorudia.
Wenzako wametoa evidence kabla ya kumuomba Daud kujieleza tangu alipoanza kule kayumba std iv, akaenda mjini na tuition juu lkn wapi, wakaonyesha alipo anza cha 4 lkn wapi na alipoingia mwenye business za ma cheti mpaka hapa kwenye ma presha hosptl.
Sasa na wewe weka hako ka mtiririko tukamuulize mwenyekiti wao mkuuu
 
Alishahakikiwa vyeti vyake na mamlaka husika hawezi kujibizana na mitandao yetu yenye maneno ya kweli na mengine yasiyo ya kweli.
ingekua hivyo mamlaka zetu zinavyopenda kujitokeza kwenye media wangekuwa wamekanusha kitambo.acha kujitoa ufahamu.
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Mbowe ana tuhuma gani?

Kwa Makonda tuhuma ni cheti kisichokuwa chake, hebu sema hizo tuhuma za Mbowe na leta sheria inayozuia huo uhalifu!! [emoji23]
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Mbowe ana tuhuma ya kuiba jina la nani ?
 
Mwigulu hakufeli bali aliacha shule kwenda kuchunga mbuzi, kisha akarudi shule kwa jina hilo, alisoma yeye mwenyewe, akafaulu, akasoma shule ya vipaji Ilboru, akatoka na Div one kali, akaenda chuo kikuu akatoka na 1st Class akaajiriwa BOT.

Daudi Albert Bashite alisoma kijijini akafeli, akaenda kurudia mjini, akafeli, akapiga dili kuchukua nafasi ya mtu aliyepasi hivyo akasoma shule ya serikali kwa jina jingine, akapata Div 0. Ndipo mrembo Christina akampa cheti cha kaka yake Paul Christian alichowasilisha kusomea chuo.

Makonda amefoji jina na kufoji cheti, Mwigulu amesomea jina la mtu mwingine.
Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Paskali
Kule kwenye uzi mwingine mbona umetetea saana mharifu? Huku umeamua kuficha kichwa makalio ukayaacha wazi?
 
Mbowe alizungusha form 4 na sio six, aeleze na yeye aliingia vipi A level ?
Ndo mana unatakiwe ujue hizo ni propaganda za ccm wee umefeli form four halafu unachaguliwa kuingia A level ,halafu jina hilohilo ,ndo mana uvccm mnaambiwaga akili zenu zipo lumumba
 
ingekua hivyo mamlaka zetu zinavyopenda kujitokeza kwenye media wangekuwa wamekanusha kitambo.acha kujitoa ufahamu.
Hoja haina mashiko ndiyo maana Serikali inaendelea na wajibu wake wa kila siku.

Issue hii ni more personal na jamii maana wenye mamlaka walishapitia na kumpa position baada ya kuridhika na sifa zake binafsi na za kitaaluma.

Sasa kujibu napo ni personal anaweza kujibu akiamua au asijibu pia hakuna wa kumshinikiza.
 
Kumbe viongozi wengi ni failures duh sikujua lakini ukiwasikia wanavyohamsiha waliomaliza vyuo kujiajiri inatia huruma. By the way mi pia nasema cheti tukione
 
Back
Top Bottom