Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Saa hizi anakubalika naWahindi sasa hawatampenda tena kwa kuwa ame m............ MANJI diwani wa "rangi tatu"
Rais na cloudz tuu. Ila hana protection nyingine zaod ya hao
Saa hizi anakubalika naWahindi sasa hawatampenda tena kwa kuwa ame m............ MANJI diwani wa "rangi tatu"
Jana sikuandika uzi hiviJana uliandikaje?
Kama Mzee wa Vijisenti vile.Haka kajamaa baadaye kataenda kwa mganga kutusahaulisha hili tukio
Pole Hance ulikuwa umeandikaje kwani hiyo jana?Jana sikuandika uzi hivi
Wametoa maneno yote niliyoaandika na kuileta thread huku jamii photos
[emoji23]Kama Mzee wa Vijisenti vile.
Nchi hii kila kitu usanii,Chama tawala wasanii,na hawa opposition na wao wasanii balaa1 wanalenga ruzuku tuMimi naamini kabisa kuwa viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe.
Kama tuna mchakato mbovu wa kuwapata kwa nini sasa hatuurekebishi?
CCM tayari ni wabovu. Hilo tunalijua fika na halina mjadala kwa mujibu wangu.
Sasa hebu angalia na huko kwenye wapinzani. Na ni vurugu mechi bin shaghalabaghala tu.
Mtu ungedhani basi labda na wao kwa kujifunza toka kwenye makosa ya CCM kwamba labda wangekuwa tofauti na hivo kuleta matumaini lakini wapi.
Hivi tu hawana madaraka na hali ipo jinsi ilivo.
Piga picha wakipata madaraka itakuwaje....
Hapana aisee...viongozi wetu wanaakisi kabisa aina ya watu wanaowaongoza.
I wholeheartedly believe that, pointblack period, dotcom!!!!!
Alipewa na nani. Kwanza hilo ni KOSA la jinai!Nenda kwa Gwajima anavyo
Toa ushahidi.Issue ya makonda na mwigulu haifanani
Mwigulu alistruggle toka form one kwa jina la mtu ambaye hakujiunga kidato cha kwanza na kuendelea mpaka ngazi aliyopo na uwezo wa darasani anao...... Lakin bwana yule o level alipata zero hvo akaamua kuchukua chet cha mwingine kufiKia malengo yake..... Hata hvo inaonesha kuwa bwala yule ni kilaza... Fuatilia trend yake pind yupo chuo....... Duh supp kama kalogwa vile
Nimejipanga ndo maana natoa FACTS na si kama wewe unayesema "WATU wanasema"KAJIPANGE UPYA DADA
Bado hajaenda kwenye ile miskiti ya Mabaniani pake kisutu waka mpake kale kadoti ka rangi nyekundu kwenye paji la uso ...
Hapa umepotosha. Kuna watu wako vizuri sana kichwani na waliamua kusoma shule ambazo sio za serikali kufuata mazingira bora na elimu bora. Wapo walioamua kwenda kusoma nje ya nchi kwa pesa yao. Hii umekariri vibaya mkuu. Note: Mimi ninesoma shule na vyuo vya serikali tu lakini natambua uwepo wa vipanga walioamua kusoma non government owned schools and/or higher learning instituties.Wanafunzi waliokuwa wanajiweza darasani sikuzote wamesoma kwenye vyuo vya serkal na kupata mkopo 100%
Ina maana hakujijua kama yeye ni kilaza mpaka achukue sayansi?Matokeo ya Daudi Bashite haya hapa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 475654
Ngoja nikusaidie kusambaza hii picha!Matokeo ya Daudi Bashite haya hapa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 475654
Navyomjua mm makonda ni mtu wa kujibu mapigo kila anapotokea mpinzani.Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno, alikuwa akisema kuwa tuhuma tu dhidi ya mtumishi wa umma zinatosha kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya mtumishi huyo. Umefika muda wa kulinda hadhi ya Serikali na chama chetu tawala (CCM).
Kufuatia kutuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne katika kufika alipofika, Paul Makonda anapaswa kujitokeza na kujisafisha kwa kuonesha cheti chake hicho kilicho na jina lake la Paul Makonda. Suala lake laweza kuleta ukabila na hata udini.
Kiongozi ni kioo. Kioo kinapaswa kuwa safi ili kioneshe taswira ya anayekitazama. Kiongozi anapaswa kutenda na kusema kwa umakini na kwa usahihi wa kiasi kikubwa. Kiongozi anapaswa kuwa na sifa za uongozi wake badala ya kuwa na sifa zenye shaka. Shaka huzaa tuhuma. Tuhuma hutaka suluhisho na hatua za kuchukuliwa.
Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine. Kesho nakwenda Arusha. Nitakapotoka huko,nitakwenda Mwanza. Nitafika Misungwi na kufanya 'ushushushu' wa kutosha kumhusu Makonda. Nitachimba kila jambo linalomhusu.
Cheti kisipoanikwa hadharani na mhusika ndani ya siku 30 kuanzia kesho,nitayaanika yote ambayo nitayapata kule Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na kwingineko. Nisije kulaumiwa nikianika hadi yale ambayo hayapo katika mjadala kwasasa. Kama unatakiwa ushahidi, endapo kutabaki kuwa kimya hata kwa anayetuhumiwa,ushahidi utawekwa hapa. Atakayeutaka,ataupata hapa.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ama kweli JF ni shule, watu hamzunguzi bila uthibitisho. Uthibitisho umenyyooka vizuri. Ni matumaini yetu Paskali amekuelewa haswaa.acha kutulisha matango pori ewe uliyeamua kudharau taaluma yako na kugeuka mchumia tumbo
emphasis on Section 14(a) (extracted from the Criminal Procedure Code Cap 20 Revised edition 2002)
14. Arrest by police officer without warrant
A police officer may without a warrant arrest–
(a) any person who commits a breach of the peace in his presence;
sasa wewe unatudanganya hapa eti, "Hata kama unaishi jirani na Kamanda Siro na akashuhudia mke anapokea kisago, mke huyo asipolia kuomba msaada, Siro haji kuingilia."
kama umetenda kosa la jinai katika uwepo wake na akashuhudia ana wajibu chini ya kifungu 14(a) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kukukamata kwa hilo kosa alilolishuhudia.
wajibu huu pia upo kwa watu binafsi kifungu 16(1) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya 2002
16. Arrest by private persons
(1) Any private person may arrest any person who in his presence commits any of the offences referred to in section 14.
na pia kwa mahakimu kifungu 18 cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya 2002
18. Magistrate may arrest person for an offence committed in his presence
When any offence is committed in the presence of a magistrate within the local limits of his jurisdiction he may himself arrest or order any person to arrest the offender and may, subject to the provisions of this Act relating to the granting of bail, commit the offender to custody.
NAWASILISHA.