mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Mmmh is this legit?Matokeo ya Daudi Bashite haya hapa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 475654
Mimi naona Hilo suala la vyeti likawekwa upande,ni bora akapelekwa kupimwa akili kwanza.Acha kuongea kama vile umetoka msalani bila kuchamba. Hatumtuhumu mtu kwa sababu alifeli. Mbowe, Ole sendeka, Lusinde, na wengineo ambao wako kwenye siasa na hawana elimu ya kutosha hao tunawajua. Na hawajafoji vyet vyao lakini kisiasa bado wamefanikiwa. Kinachoshughulikiwa hapa ni kufoji au kughushi cheti. Hili suala kisheria ni kosa na mhusika anatakiwa aende jela, haina mjadala. Acha kujitoa ufahamu, kana kwamba una akili za samaki
Ni ndugu yako nini?Mnalala mnaamka makonda tu hapo usikute hadi familia zenu zina migogolo ila mmekazania ya makonda tu.
Hujui maana ya kinachoendelea makonda ajiliita mungu alisema hakuna Wa kumzuiya anaweza kumfukuza yeyote amtakaye kumbe vyetu vya kuazima na were ni masogange Wa pili au nani mpk umteteeMnalala mnaamka makonda tu hapo usikute hadi familia zenu zina migogolo ila mmekazania ya makonda tu.
Hata wewe hujui maana ya kinachoendelea na wewe ni Nani mpaka umtuhumu?Hujui maana ya kinachoendelea makonda ajiliita mungu alisema hakuna Wa kumzuiya anaweza kumfukuza yeyote amtakaye kumbe vyetu vya kuazima na were ni masogange Wa pili au nani mpk umtetee
Mbowe kweli alifailure lakini kwa majina yakeNi lini mbowe amefoji vyeti ? Anzia hapo
KweliAcha kuongea kama vile umetoka msalani bila kuchamba. Hatumtuhumu mtu kwa sababu alifeli. Mbowe, Ole sendeka, Lusinde, na wengineo ambao wako kwenye siasa na hawana elimu ya kutosha hao tunawajua. Na hawajafoji vyet vyao lakini kisiasa bado wamefanikiwa. Kinachoshughulikiwa hapa ni kufoji au kughushi cheti. Hili suala kisheria ni kosa na mhusika anatakiwa aende jela, haina mjadala. Acha kujitoa ufahamu, kana kwamba una akili za samaki
Watu wana akili sana kuliko anavyofikirikinachozungumzwa ni wizi aka kugushi vyeti...ujambazi wa taaluma.hutaki majambazi yajadiliwe kwa ujambazi wao kisa wanatoa msaada ya kujenga misikiti na makanisa au kutoa mafungu manono kwa yatima?ujambazi utatukuzwa kwa njia hiyo ya kuficha maovu yao ?je hiyo ni halali ?tuubomoe huu ujambazi bila kujali mchango wa mhusika katika jamii.!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Suala hili la RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda linaelekea kubaya. Linaelekea kukisawajisha chama na hata Serikali yake. Hayati Mwalimu Nyerere,kwa tuliokuwa karibu naye kimatendo na kimaneno, alikuwa akisema kuwa tuhuma tu dhidi ya mtumishi wa umma zinatosha kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya mtumishi huyo. Umefika muda wa kulinda hadhi ya Serikali na chama chetu tawala (CCM).
Kufuatia kutuhumiwa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne katika kufika alipofika, Paul Makonda anapaswa kujitokeza na kujisafisha kwa kuonesha cheti chake hicho kilicho na jina lake la Paul Makonda. Suala lake laweza kuleta ukabila na hata udini.
Kiongozi ni kioo. Kioo kinapaswa kuwa safi ili kioneshe taswira ya anayekitazama. Kiongozi anapaswa kutenda na kusema kwa umakini na kwa usahihi wa kiasi kikubwa. Kiongozi anapaswa kuwa na sifa za uongozi wake badala ya kuwa na sifa zenye shaka. Shaka huzaa tuhuma. Tuhuma hutaka suluhisho na hatua za kuchukuliwa.
Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine. Kesho nakwenda Arusha. Nitakapotoka huko,nitakwenda Mwanza. Nitafika Misungwi na kufanya 'ushushushu' wa kutosha kumhusu Makonda. Nitachimba kila jambo linalomhusu.
Cheti kisipoanikwa hadharani na mhusika ndani ya siku 30 kuanzia kesho,nitayaanika yote ambayo nitayapata kule Kolomije, Misungwi mkoani Mwanza na kwingineko. Nisije kulaumiwa nikianika hadi yale ambayo hayapo katika mjadala kwasasa. Kama unatakiwa ushahidi, endapo kutabaki kuwa kimya hata kwa anayetuhumiwa,ushahidi utawekwa hapa. Atakayeutaka,ataupata hapa.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
bora useme wewe mkuuwe kila picha inayletwa humu baada ya skendo yake ya vyeti feki unasema ya zamani au wewe ni mama Daudi??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Hayakuhusu!
Mzee Tupatupa
Duuuh moderators jamani mbona mmebadilisha uzi tena??
Hahahaaa!!!makonda usukuma wake unamsaidia.....
Jana uliandikaje?Duuuh moderators jamani mbona mmebadilisha uzi tena??
Ndio hivi kweli niliandika mimi jana kweli??