Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
 
Wanajmvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!

Huyu kajipachika ufaulu wa mtu mwingine (kichwa cha mtu mwingine) kutengeneza maisha yake. Mwingine katumia jina lingine na kufaulu yeye mwenyewe kwa kichwa chake halisi na kupata maisha. Naamini utaona utofauti mbashara.
 
Wafuta viatu mwaka huu mtamtetea makonda mpaka muote mvi, ila moto ni uleule aoneshe vyeti basi.
 
Chadema: JK alisema ana majina ya wauza dawa za kulevya kwanini serikali isiwataje hadharani ili watanzania wawafaham na serikali iwashughulikie ipasavyo

Makonda: Wema,TID, chid benzi,lulu diva,rommy jons, nk

Chadema: Hii serikali ni ya ajabu sana yaan inawataja watumiaji na waathirika wa madawa ambao badala kuwapeleka soba wao wanawaweka mahabusu, tunataka muwataje mapapa sio hao wagonjwaa.............

Makonda: Manji, Azan, Gwajima, Mbowe nk

Chadema: Makonda alinunua cheti cha mtu cha elimu, yeye jina lake kamili ni Daud Bashite, Rais mtumbue, mtumbue

Makonda&watanzania wazalendo: ???????

Chadema: Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite, Daud Bashite

Unadhani chadema wanataka nini????
Hahaaa wapate matibabu ya akili
 
Nimekimbilia huku baada ya kule kuunganishwa

Mzee Tupatupa
IMG-20170301-WA0011.jpg



Swissme
 
Abuha una uhusiano gani na Meya, mbona unalia lia tu ? Meya ana kazi zake, RC ana kazi zake na Mbowe ana kazi zake, kama inshu kuhusu vyeti vya Meya ilete hapa, vinginevyo hapa tunahoji kuhusu vyeti vya RC na Ndugu Mbowe, Waziri Mkuu kivuli, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Hahaha hutaki hili la Mstahiki meya,mimi nakuuliza suala,Ni Kwa nini wananchi wanapiga kura kuwachagua wabunge,na wabunge kuwachagua Mameya wa miji???jee kulikuwa hakuna haja ya kuchagua meya Kwa Kura za wabunge?? sasa mlipokosa kule mkampa uluwa RC,kwa nini mkakiuka sheria za maadili ya utawala wa uongozi,ambapo Meya alitakiwa meya alitakiwa awe juu ya RC kwa mkoa ule husika,sasa matokeo yake ndio haya RC anageuka mahakama,anatoa mpaka Summons ya maneno tuu,Jamani,ili aonekane yupo juu anafanya kazi zinazomuhusu na zisizomuhusu,yote haya kuonesha awe juu tuu,mambo hayendi hivyo,suala Nani aliyempa uwezo kukiuka sheria afanye yote haya,nasikia siku hizi hata DC anatoa samansi yamtu akamatwe,akichukia tuu anatoa hukumu,jamani.
 
Si anajua ni upuuzi tu wa wanaomchukia makonda. Kuna wajinga hapa wanaamin hz propaganda. N kilio kilichotokana na watu kutajwa hadharan.
Makonda kaza uzu.
 
Matokeo ya Daudi Bashite haya hapa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
FB_IMG_1488354525235.jpg
 
Si anajua ni upuuzi tu wa wanaomchukia makonda. Kuna wajinga hapa wanaamin hz propaganda. N kilio kilichotokana na watu kutajwa hadharan.
Makonda kaza uzu.
Inawezeka wengine wanamchukia binafsi,Lakini Ni bora vile vile wakafanya haraka kumpima akili.
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.

Acha kuongea kama vile umetoka msalani bila kuchamba. Hatumtuhumu mtu kwa sababu alifeli. Mbowe, Ole sendeka, Lusinde, na wengineo ambao wako kwenye siasa na hawana elimu ya kutosha hao tunawajua. Na hawajafoji vyet vyao lakini kisiasa bado wamefanikiwa. Kinachoshughulikiwa hapa ni kufoji au kughushi cheti. Hili suala kisheria ni kosa na mhusika anatakiwa aende jela, haina mjadala. Acha kujitoa ufahamu, kana kwamba una akili za samaki
 
Back
Top Bottom