Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

.

Sasa, natoa siku 30 kuanzia kesho kwa Paul Makonda kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma za kutumia cheti cha sekondari cha mtu mwingine.


Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
!!!!!!!!!??????
 
Ziko jinai za aina mbili, public offences na private offences. Public offense ni makosa ya uvunjifu wa sheria za public laws kama mikosanyiko, maandamano, uharibifu wa malí ya umma or makosa yoyote against the public.

Personal/private crimes ni makosa ya jinai yanayofanywa na individual dhidi ya individual or individual ndidi ya entities be it public or private.

Kosa la theft, forgery, fraud, bodily injuries, sexual offences other than incest or sodomy, hata rape, beating, Polisi haiwezi kuinitiate uchunguzi hadi mtu au taasisi ipeleke malalamiko kufungua RB. Hakuna mtu yoyote au taasisi yoyote iliyopeleka malalamiko yoyote kuitisha uchunguzi. Waliochunguza ni wale "jamaa zetu" tuu. Hivyo hakuna lalamiko lolote dhidi ya Mkuu wetu wa mkoa Mhe. Sana Daudi Albert Bashite AKA Paul Makonda.

Hata kama unaishi jirani na Kamanda Siro na akashuhudia mke anapokea kisago, mke huyo asipolia kuomba msaada, Siro haji kuingilia.

Au mtu akiibiwa na mwizi akakatwa red-handed Siro hawezi kunfungulia mashitaka kama wewe hujakwenda kulalamika.

Paskali

Kuna sense kwenye hii argument yako Kaka Paschal, ila kwenye secondary stage. Ina maana Police wakiona watu wanapigana/ au mmoja anaiba watangoja yule mwingine aende kushtaki? wataingilia lazima, ila kuipeleka mahakaman ndo kutaitaji hiyo issue yako. Mimi sio mwana sheria wala sizijui, ila UNACHOSEMA HAPA JUU practically hakina sense.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Wanajmvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
Nini aongoze,wewe hujui dhambi huzaa dhambi,anaestahiki kuongoza jiji la Dar Ni Meya ambaye amepata baraka za wabunge waliochaguliwa na wananchi kuongoza mkoa wa Dar,Sasa serikali ya Magu kwa kutumia nguvu na ukiukwaji wa hake kisheria,imempa madaraka ya kimahakama RC Bashite,ukitaka usitake hizo falsafa za chama CCM kimewadumaza kimawazo asilimia kubwa ya Wananchi,wananchi hata wamekosa kujua haki zao za kiraia(brain wash),hii Ni dhambi kubwa,hili Ni tatizo la Rais anaeropokwa na kuamua bila kutafakari.‍♂️
 
Lini atatoa,wewe una akili za samaki,wewe hujui dhambi huzaa dhambi,anaestahiki kuongoza jiji la Dar Ni Meya ambaye amepata baraka za wabunge waliochaguliwa na wananchi kuongoza mkoa wa Dar,Sasa serikali ya Magu kwa kutumia nguvu na ukiukwaji wa hake kisheria,imempa madaraka ya kimahakama RC Bashite,ukitaka usitake hizo falsafa za chama CCM kimewadumaza kimawazo asilimia kubwa ya Wananchi,wananchi hata wamekosa kujua haki zao za kiraia(brain wash),hii Ni dhambi kubwa,hili Ni tatizo la Rais anaeropokwa na kuamua bila kutafakari.‍♂️
Mbona unahangaika sana, mambo ya Meya yametoka wapi, hapa tunaongelea kuhusu vyeti, kuhusu Mbowe kuzungusha form 4 na kutumia njia za panya kuingia A level, penyewe akazungusha tena ZERO.
 
Mnalala mnaamka makonda tu hapo usikute hadi familia zenu zina migogolo ila mmekazania ya makonda tu.
mungu huyo wa daresalama makonda aneshaharibu nchi kwa kushirikiana na pogba. Hatuwezi kumuacha mpaka apotee..
HAWA NDO VICHAA TUNAOHANGAIKA NAO
 
Sometimes ujinga ni matokeo ya kukaririshwa màmbo. Hivi wewe kweli kama una uwezo wa ku argue hapa jamvini uñashindwa kupata matokeo ya Mbowe f4 ña f6 hadi unaomba yeye aweje hapa jamvini? Ni aibu kujifanya pelelepelele kumbe ni hamnazo, argue with evidence. Ambacho sasa naona unakihitaji ni kuomba kupatiwa matokeo ya Mbowe-- na hilo huwezi kulifanya hapa jamvini. Kama unaona kulifanyia siasa jambo hili kwako inafaa endelea na porojo zako.
Kilaga Mbowe ana tuhuma za udanganyifu wa elimu, ameingia A level huku form 4 akiwa amefeli, na A level na penyewe akazungusha.
Usishangae kuombea hapa matokeo, Mnyika ameshawahi kutoa matokeo yake hapa hapa jamii forum baada ya kupewa shtuma ya Ritz, sasa kwa nini kwa Mbowe ishindikane ?
Mbowe toa matokeo yako ya form 4 na form 6.
 
Kitendo cha kamanda SIRRO kumuacha Makonda akitamalaki na vyeti Feki hapa Dasalaam inaonyesha kiongozi wa kanda Maalum anapwaya.

Makonda aliwahi kuhoji utendajikazi wa kamanda Siro kuwa haukizi viwango. nimeanza kuamini,kelele zetu zote hizi na inteligensia zake ameshindwa kufungua jarada la uchunguzi dhidi ya Daudi Bashite! only in Tanzania.

Forgery is a criminal offence in the eyes of the law Kamanda Siro!
toa ujinga wako wewe. kama unauza madawa ya kulevya subiri hapo hapo wsnakuja kukukamata.
 
Mkuu CHAKAZA hili bandiko lako haliwezi kuwa katika mabandiko yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani kweli????? nauliza tu
Mkuu mimi nainunua amani Kwa namna yeyote,nikuulize wewe hili neno chakaza katika kiswahili fasaha umekusudia nini???na kwa mantiki gani haya uniulize suala Hilo,unakusudia nini?
 
image.jpg
 
Pengine mheshimiwa yuko kimya akisubiri watu waropoke wakinyamaza aje na vyeti,au anasubiri raia wapeleke vithibitisho ashtakiwe ndipo areact.au ameamua kuwa na busara na kufanya mambo yake kimya kimya kama anavyofanya kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya!!
 
Mimi naona wote wanaomwamin Gwajima wakapimwe akili kwan hamkumbuki alichomfanyia Pengo? Gwajima sio wa kumwamin hata waumin wake sidhan kama wanajielewa
Kwa hiyo unataka tukuamini wewe mpuuzi uliejificha nyuma ya keyboard sio?!
 
Na hawa wanaotetea huyu RC hembu tuwe wakweli hivi huyu RC na kile kiherehere chake ingekuwa anayetuhumiwa na hili sakata la ununuzi wa vyeti angekuwa yupo pale ofisi ya mkuu wa Mkoa mtumishi mweye issue kama kwa hurka za Daudi Albert Bashite si tayari angekuwa central ana siku kadhaa hata bila ya mahakamani.
 
Nyia mnao muhandama Makonda ni wapuuzi sababu yeye alisomea Jina la MTU lkn hajachukua cheti cha MTU pasipo kusoma nafunya kuwa taaluma yake
 
Mbona unahangaika sana, mambo ya Meya yametoka wapi, hapa tunaongelea kuhusu vyeti, kuhusu Mbowe kuzungusha form 4 na kutumia njia za panya kuingia A level, penyewe akazungusha tena ZERO.
Si ndio,dhambi zote zisingekuja kama sio kupindua madaraka ya meya kuongoza jiji la Dar,ambaye amechaguliwa na baraka za wabunge waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar,Huyu hafai anarekodi mbaya huko nyuma,Kodak lake hata angeweza kufungwa,Kwa vile alivyomvamia Mzee Warioba,amekosa heshima huyu,hafai kuongoza.
 
Pengine mheshimiwa yuko kimya akisubiri watu waropoke wakinyamaza aje na vyeti,au anasubiri raia wapeleke vithibitisho ashtakiwe ndipo areact.au ameamua kuwa na busara na kufanya mambo yake kimya kimya kama anavyofanya kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya!!
Anasuburi with all these insults? Week ya 2 watu wanalia na vyeti vyake yuko kimya?

Cant be serious..!
 
Back
Top Bottom